Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Askari wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wawatia nguvuni wanachama 100 wa HAMAS Ufukwe wa Magharibi

    Askari wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wawatia nguvuni wanachama 100 wa HAMAS Ufukwe wa Magharibi

    Sep 27, 2018 12:10

    Askari usalama wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wamewatia nguvuni makumi ya wanachama waandamizi na wafuasi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • HAMAS: Matamshi ya Mahmoud Abbas yanabainisha mtazamo wake binafsi

    HAMAS: Matamshi ya Mahmoud Abbas yanabainisha mtazamo wake binafsi

    Sep 22, 2018 13:14

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuhusu matamshi aliyotoa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuwa tayari kufanya mazungumzo na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kwamba matamshi hayo yanaakisi mtazamo wake binafsi, wala hayawakilishi maoni ya wananchi wa Palestina.

  • Ismail Hania: Maandamano ya Haki ya Kurejea na kuondolewa mzingiro hayatasimama

    Ismail Hania: Maandamano ya Haki ya Kurejea na kuondolewa mzingiro hayatasimama

    Sep 19, 2018 10:14

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, taifa la Palestina limeazimia kwamba, litasimama kidete kukabiliana na mzingiro wa adui Mzayuni hadi pale litakapousambaratisha.

  • Jitihada za Hamas za kuhitimisha mzingiro Ukanda wa Ghaza

    Jitihada za Hamas za kuhitimisha mzingiro Ukanda wa Ghaza

    Sep 16, 2018 03:03

    Afisa anayehusika na masuala ya uhusiano wa kimataifa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa harakati hiyo inafanya jitihada maalumu ili kuhitimisha mzingiro na kuifanya tulivu hali ya mambo huko Ghaza na kwamba hakuna upande unaoweza kupinga au kukabiliana na mchakato huo.

  • Hamas yaionya Israel isiendelee kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Hamas yaionya Israel isiendelee kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Sep 13, 2018 23:03

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel juu ya hatari ya kuendelea kuuvinjia heshima Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu na kusisitiza kuwa utawala huo dhalimu ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea.

  • HAMAS: Matamshi ya Rais Mahmoud Abbas sio msimamo wa taifa la Palestina

    HAMAS: Matamshi ya Rais Mahmoud Abbas sio msimamo wa taifa la Palestina

    Aug 29, 2018 23:07

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, matamshi Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina katu hayaakisi msimamo wa wananchi wa taifa hilo madhulumu.

  • Hamas yataka kuendeleza maandamano ya Kurejea

    Hamas yataka kuendeleza maandamano ya Kurejea

    Aug 10, 2018 11:49

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas amesisitiza kuwa wananchi wa Palestina wataendelea kufanya maandamano makubwa ya "Haki ya Kurejea" hadi pale malengo yao yatakapofanikishwa na kuvunjwa mzingiro wa Ghaza.

  • HAMAS: Hatuko tayari kulipa gharama yoyote ya kisiasa ili kuondolewa mzingiro dhidi ya Gaza

    HAMAS: Hatuko tayari kulipa gharama yoyote ya kisiasa ili kuondolewa mzingiro dhidi ya Gaza

    Aug 09, 2018 03:28

    Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, harakati hiyo haiko tayari kulipa gharama yoyote ile ya kisiasa mkabala na kuondolewa mzingiro wa utawala ghasibu wa Israel wa zaidi ya miaka 12 dhidi ya Ukanda wa wa Gaza.

  • HAMAS: Shambulio dhidi ya wanamapambano wa Muqawama halitaachwa bila kujibiwa

    HAMAS: Shambulio dhidi ya wanamapambano wa Muqawama halitaachwa bila kujibiwa

    Aug 07, 2018 23:45

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema shambulio la ndege za kivita za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza dhidi ya kituo cha brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la harakati hiyo ambalo limesababisha kuuawa shahidi wanamapambano wawili wa Muqawama halitaachwa bila kujibiwa.

  • Harakati ya Fat-h yaafiki mpango wa maridhiano ya kitaifa

    Harakati ya Fat-h yaafiki mpango wa maridhiano ya kitaifa

    Aug 01, 2018 21:57

    Mjumbe wa kamati kuu ambaye pia ni mkuu wa kamati ya ufuatiliaji maridhiano ya kitaifa wa harakati ya Fat-h amesema harakati hiyo imetoa jibu chanya la maandishi kwa maafisa wa Misri kuhusiana na mapendekezo yaliyowasilishwa na nchi hiyo kuhusu maridhiano ya kitaifa ya Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS