-
Harakati ya Fat-h yaafiki mpango wa maridhiano ya kitaifa
Aug 01, 2018 21:57Mjumbe wa kamati kuu ambaye pia ni mkuu wa kamati ya ufuatiliaji maridhiano ya kitaifa wa harakati ya Fat-h amesema harakati hiyo imetoa jibu chanya la maandishi kwa maafisa wa Misri kuhusiana na mapendekezo yaliyowasilishwa na nchi hiyo kuhusu maridhiano ya kitaifa ya Palestina.
-
Hamas yaionya vikali Israel juu ya mzingiro wa Gaza
Jul 17, 2018 02:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na hatua yake ya kuzidisha mzingiro katika Ukanda wa Gaza.
-
Balozi wa Qatar Palestina: Hamas sasa ina nguvu kubwa kuliko ilivyokuwa huko nyuma
Jul 10, 2018 23:38Balozi wa Qatar huko Palestina amesema kuwa utawala wa Kizayuni unapasa kukubali matakwa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kuhusu eneo la Ukanda wa Ghaza kwa sababu harakati hiyo sasa iko imara zaidi kuliko ilivyokuwa huko nyuma.
-
HAMAS: Hatujafanya mazungumzo na yeyote kuhusu "Muamala wa Karne"
Jul 09, 2018 21:54Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekanusha vikali baadhi ya madai kuhusiana na kukubali kujadili viongozi wa harakati hiyo mpango wa "Muamala wa Karne".
-
Udharura wa dunia kuzingatia kadhia ya wakimbizi wa Palestina
Jun 20, 2018 09:06Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, imesisitiza kuwa, jukumu la kutetea haki zote za kisiasa na kifedha za wakimbizi Wapalestina ni la jamii ya kimataifa na hasa Umoja wa Mataifa.
-
Haniya: Azimio la UN dhidi ya Israel, ishara namna Marekani na Israel zinavyozidi kutengwa
Jun 16, 2018 03:08Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio linaloulaumu na kuulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kufanya mauaji dhidi raia wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza ni ithibati nyingine inayoonesha namna na utawala huo haramu na Marekani zinazidi kutengwa kimataifa.
-
HAMAS yapongeza azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu wananchi wa Palestina
Jun 14, 2018 10:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imepongeza azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifra la kuwahami na kuwatetea wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Kiongozi wa HAMAS: Iran ni nchi muhimu na mhimili wa msingi katika eneo
Jun 11, 2018 10:30Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuenzi na kuusifu mchango wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuihami na kuiunga mkono Palestina na kusisitiza kwamba: Hamas haiungi mkono mhimili wowote wa Kiarabu au wa kieneo dhidi ya mhimili mwengine.
-
Hamas yasisitiza maandamano ya Haki ya Kurejea yataendelea hadi kufikiwa malengo yaliyokusudiwa
Jun 10, 2018 22:12Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuendelezwa maandamano ya Haki ya Kurejea hadi kufikiwa malengo ya Wapalestina, la kwanza likiwa ni kuondolewa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS: Maandamano ya Wapalestina katika mpaka wa Gaza yataendelea
May 15, 2018 03:32Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa maandamano ya amani ya Wapalestina katika mpaka wa Ukanda wa Gaza ya kupinga ubalozi wa Marekani Tel Aviv kuhamishiwa Baitul Muqaddas yataendelea.