-
Sayyid Nasrullah: Iran ndio moyo wa Uislamu na mrengo wa muqawama
Aug 10, 2022 01:22Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio moyo wa Uislamu na mrengo wa muqawama wa Kiislamu duniani.
-
Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri
Aug 08, 2022 07:24Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema maadui Wazayuni wametangaza kuwa wako tayari kufikia makubaliano ya usitishaji vita baada ya makombora na maroketi ya wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza kuutiwa kiwewe na wahakama utawala huo wa Kizayuni.
-
Nasrullah: Maeneo yote ya Israel yapo katika shabaha ya makombora ya Hizbullah
Jul 26, 2022 07:47Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema makombora yenye usahihi mkubwa katika kulenga shabaha ya harakati hiyo ya muqawama yana uwezo wa kupiga sehemu yoyote ya utawala haramu wa Israel; baharini au ardhini.
-
Yaliyojiri katika kikao cha kwanza cha Bunge la Lebanon
Jun 03, 2022 02:41Kikao cha kwanza cha bunge la Lebanon kimefanyika kwa kuchaguliwa Spika na Naibu Spika wa bunge hilo.
-
Ujumbe wa Idi wa makundi ya muqawama: Mapambano dhidi ya mabeberu yataendelea
May 04, 2022 02:36Brigedi za Hizbullah nchini Iraq zimesema kuwa, zitaendeleza muqawama na kushikamana vilivyo na Uislamu hadi pale ubeberu wa madola ya Magharibi utakapoangamizwa katika nchi za Waislamu.
-
Hizbullah yatangaza mshikamano na wananchi mashujaa wa Palestina
Apr 17, 2022 02:21Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza mshikamano wake na wananchi wa Palestina na kuyatolea wito mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kutekeleza majukumu yao katika kuitetea Quds Tukufu.
-
Hizbullah: Marekani, mchochezi wa migogoro Asia Magharibi na kote duniani
Mar 27, 2022 10:48Ofisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani inabeba dhima ya kuanzisha na kuchochea migogoro yote inayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi na maeneo mengine duniani.
-
'Kuweko utawala wa Kizayuni huko Kurdistan ya Iraq kutaitumbukiza vitani nchini hiyo'
Mar 22, 2022 03:31Msemaji wa masuala ya kijeshi wa harakati ya Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, kuweko utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Kurdistan la Iraq kutaitumbukiza vitani nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Nasrullah akanusha madai ya kuwepo vikosi vya Hizbullah nchini Ukraine
Mar 19, 2022 12:25Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekanusha vikali ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari inayodai kuwa wapiganaji kadhaa na washauri wa kijeshi wa harakati hiyo ya muqawama wapo Ukraine kupigana katika safu moja na wananajeshi wa Russia.
-
Hizbullah: Ukraine ilifanya makosa kuitegemea Marekani
Feb 26, 2022 07:48Mkuu wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni makosa kwa baadhi ya nchi kutegemea uungwaji mkono na himaya ya Marekani, na kwamba kadhia ya Ukraine imethibitisha tena ukweli huo.