Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah

  • Hamas, Hizbullah: Mpango wa Israel wa kughusubu ardhi ni hujuma dhidi ya Wapalestina

    Hamas, Hizbullah: Mpango wa Israel wa kughusubu ardhi ni hujuma dhidi ya Wapalestina

    Jul 07, 2020 08:02

    Harakati za muqawama wa Kiislamu za Hamas ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon zimepinga vikali mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kutwaa na kughusubu ardhi ya Palestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusisitiza kuwa, uporaji huo ni hujuma ya moja kwa moja dhidi ya Wapalestina.

  • Sayyid Nasrullah: Utawala wa kibaguzi wa Israel utaangamia

    Sayyid Nasrullah: Utawala wa kibaguzi wa Israel utaangamia

    May 27, 2020 08:01

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utasambaratika na kuangamia na kwamba matukio yote yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi yapo dhidi ya maslahi ya utawala huo pandikizi.

  • Siku ya Kimataifa ya Quds: Viongozi wa Hamas, Ansarullah na Hizbullah wazungumza

    Siku ya Kimataifa ya Quds: Viongozi wa Hamas, Ansarullah na Hizbullah wazungumza

    May 21, 2020 03:01

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema "Muamala wa Karne" unakusudia kusambaratisha kadhia ya Palestina.

  • Hizbullah: Tumejiandaa barabara kuzima uchokozi wowote wa Israel

    Hizbullah: Tumejiandaa barabara kuzima uchokozi wowote wa Israel

    May 21, 2020 02:35

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama imejiandaa vilivyo na ipo tayari kikamilifu kukabiliana na uvamizi na chokochoko zozote za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hizbullah ya Iraq: Harakati za genge la Daesh (ISIS) zinatokana na mipango ya Marekani na Saudia

    Hizbullah ya Iraq: Harakati za genge la Daesh (ISIS) zinatokana na mipango ya Marekani na Saudia

    May 04, 2020 07:15

    Msemaji wa Kisiasa wa Kundi la Muqawama la Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, harakati mpya za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mikoa tofauti ya nchi hiyo, zinahusiana na mipango ya Marekani na Saudi Arabia.

  • Mshikamano wa muqawama Asia Magharibi dhidi ya uamuzi wa Ujerumani kuhusiana na Hizbullah ya Lebanon

    Mshikamano wa muqawama Asia Magharibi dhidi ya uamuzi wa Ujerumani kuhusiana na Hizbullah ya Lebanon

    May 03, 2020 07:29

    Mhimili wa muqawama katika eneo mla Asia Magharibi umechukua msimamo mmoja wa kulaani hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiita Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi.

  • Vyama vya Palestina na Lebanon vyatoa radiamali kufuatia hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah

    Vyama vya Palestina na Lebanon vyatoa radiamali kufuatia hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah

    May 02, 2020 10:52

    Vyama na makundi tofauti ya Lebanon, Syria na Palestina vimeitaja hatua ya Ujerumani ya kuitangaza Harakati ya Muqawama ya Lebanon Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi ni kusalimu amri kwa njia ya kujidhalilisha nchi hiyo ya Magharibi kwa amri za Marekani na utawala haramu wa Kizayuni.

  • Hizbullah: Muqawama umejiandaa kupambana na maadui

    Hizbullah: Muqawama umejiandaa kupambana na maadui

    Apr 14, 2020 11:39

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya muqawama daima iko tayari na imejiandaa barabara kukabiliana na chokochoko za maadui.

  • Harakati ya Hizbullah: Njama za Marekani hazitopunguza muqawama wa Wairaki

    Harakati ya Hizbullah: Njama za Marekani hazitopunguza muqawama wa Wairaki

    Mar 28, 2020 12:40

    Harakati ya Hizbullah ya Iraq imesema kuwa, hatua chafu za Marekani dhidi ya nchi hiyo, hazitakuwa na taathira yoyote kwenye muqawama wa Wairaki.

  • Sababu za mafanikio ya Shahidi Soleimani katika mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah

    Sababu za mafanikio ya Shahidi Soleimani katika mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah

    Feb 14, 2020 12:44

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amefanya mazungumzo na televisheni ya al Mayadeen akieleza mchango na nfasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuunda harakati hiyo ya mapambano na mafanikio ya Kamanda Qassem Soleimani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS