-
"Marekani ilivuka mistari yote miekundu kwa kumuua shahidi Jen. Soleimani"
Feb 14, 2020 03:24Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kwa kumuua kigaidi shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ( SEPAH), Marekani ilivuka mistari yote miekundu na kwamba mauaji hayo yamegeuza mahesabu yote katika eneo la Asia Magharibi.
-
Hizbullah: Mapinduzi ya wananchi wa Iraq yataendelea hadi Wamarekani watakapofurushwa Asia Magharibi
Jan 25, 2020 11:37Brigedi za Hizbullah ya Iraq zimesema kuwa mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo yataendelea hadi wavamizi wote wa Kimarekani watakapofurushwa kikamilifu nchini Iraq na katika eneo zima la Asia Magharibi.
-
Hizbullah: Maandamano ya Wairaqi ni dhihirisho wanapinga uvamizi wa Marekani
Jan 25, 2020 08:22Harakati ya Muaqawama ya Hizbullah ya Lebanon imewapongeza wananchi wa Iraq kwa kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya kupinga uwepo wa askari wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hizbullah yasisitiza kuondoka wanajeshi wa Marekani eneo la Asia Magharibi
Jan 12, 2020 12:16Mwenyekiti wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuhusu kuondoka wanajeshi wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi kama jibu la kweli la mauaji ya kigaidi ya mashahidi Haj Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
-
Harakati ya Hizbullah ya Iraq yampa onyo kali Rais Donald Trump wa Marekani
Jan 07, 2020 04:41Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Iraq imemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kwamba iwapo ataiwekea vikwazo nchi hiyo, basi harakati hiyo itazuia usafirishaji mafuta ya kwenda soko la nchi hiyo.
-
Nasrullah: Hizbullah ni tishio kubwa kwa njama za Marekani na Israel
Dec 14, 2019 07:25Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema njama ghalati za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo zimekuwa zikigonga mwamba kutokana na uwepo na kusimama kidete harakati hiyo ya muqawama.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Hizbullah si kundi la kigaidi
Sep 25, 2019 04:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amesema: Harakati ya Hizbulllah ya Lebanon si kundi la kigaidi.
-
Sayyid Nasrullah: Saudia ikomeshe mauaji Yemen kwa usalama wake
Sep 21, 2019 08:00Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) amewaasa watawala wa Saudi Arabia wakomesha mashambulizi ya umwagaji damu nchini Yemen kwa maslahi ya taifa lao.
-
Hizbullah: Kombora letu jipya linaweza kusambaratisha manowari yoyote
Sep 17, 2019 02:32Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) imesema kombora lake jipya lenye uwezo wa kulenga shabaha kwa umakini mkubwa linaweza kuharibu aina yoyote ya manowari na meli za kijeshi.
-
Nguvu za Muqawama katika maneno na vitendo
Sep 11, 2019 07:09Mikwaruzano baina ya kambi ya muqawama na utawala wa Kizayuni wa Israel imezidi kuwa mikubwa katika miezi ya hivi karibuni huku makundi ya muqawama yakizidi kuonesha nguvu zao kupitia maneno na vitendo dhidi ya utawala huo pandikizi.