-
Israel yaililia Russia iwe mpatanishi kati yake na Hizbullah
Nov 02, 2024 11:14Israel sasa inaiasa Russia eti ishiriki katika 'juhudi za amani' zinazolenga kumaliza mzozo kati ya utawala huo wa Kizayuni na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Hizbullah: Tumefanikiwa kuangamiza wanajeshi 95 wa Israel
Nov 01, 2024 10:30Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema zaidi ya maafisa na wanajeshi 95 wa Israel wameuawa na wengine wasiopungua 900 wamejeruhiwa tangu utawala huo ghasibu uanzishe operesheni ya nchi kavu dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Sheikh Qassem: Hizbullah itazima 'mpango mkubwa' wa Israel katika eneo
Oct 31, 2024 02:37Katibu Mkuu mpya wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kundi hilo la mapambano ya Kiislamu litaendelea kupambana kwa shabaha ya kusambaratisha njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo zima la Asia Magharibi.
-
'Hizbullah iko katika mkao wa vita, siku ngumu zinaisubiri Israel'
Oct 14, 2024 13:43Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameuonya utawala haramu Israel kuhusu "siku ngumu" zijazo huku harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah ikijiimarisha kivita ili kukabiliana na uvamizi wa Israel.
-
Israel yateketeza mahema kwenye Hospitali ya Ghaza na kuwachoma moto Wapalestina wakiwa hai
Oct 14, 2024 06:12Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeishambulia kwa mabomu kambi ya wakimbizi katika eneo la kati la Ukanda wa Ghaza na kusababisha moto mkubwa uliopelekea kuuawa shahidi Wapalestina waliokuwa wametafuta hifadhi kwenye eneo hilo kutokana na hilaki ya vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala huo ghasibu.
-
Muendelezo wa mashambulizi makali ya Hizbullah ya Lebanon kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 12, 2024 11:41Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imelenga maeneo ya kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa mashambulizi makali ya makombora.
-
Hizbullah yaendelea kuyatwanga maeneo ya Wazayuni kwa mvua ya makombora
Oct 11, 2024 02:38Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon umeendelea kutoa vipigo vikali kwa walowezi wa Kizayuni kwa kuyashambulia kwa makombora maeneo ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina la Israel na maeneo mengine muhimu ya Wazayuni kama Haifa.
-
Sheikh Qassim: Hakuna shaka Hizbullah itamshinda adui Mzayuni
Oct 08, 2024 11:43Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa iliyofanywa na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS na makundi mengine ya mapambano yenye makao yao makuu huko Gaza dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na kusema kuwa, operesheni hiyo iliashiria mwanzo wa kubadilisha taswira ya eneo la Asia Magharibi kwa kuyahusisha makundi ya Muqawama.
-
Hizbullah yaipiga kambi ya kijeshi ya Israel kwa makombora ya Fadi-1
Sep 30, 2024 02:27Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imesema imevurumisha makombora ya Fadi-1 dhidi ya kambi ya jeshi la Israel katika maeneo ya kaskazini yanayokaliwa kwa mabavu.
-
Israel yaua watu wengine 72 na kujeruhi 400 Lebanon, Hizbullah yajibu mapigo kwa makombora
Sep 26, 2024 06:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi watu wasiopungua 72 na kuwajeruhi wengine 400 nchini Lebanon katika siku ya tatu mtawalia ya mashambulizi ya kiwendawazimu unayofanya katika ardhi ya nchi hiyo sambamba na makabiliano yanayoendelea baina yake na harakati ya Muqawama ya Hizbullah.