Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hormoz

  • Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    Sep 27, 2026 03:30

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, ukosefu wa usalama katika Mlango Bahari wa Hormuz na kuvurugika usafiri wa majini ni matokeo ya moja kwa moja ya hatua za uchokozi na uvamizi uliofanywa na Marekani na utawala ghasibu wa Israel.

  • Spika Qalibaf: Hormuz haitafunguliwa hadi pale Marekani itakapotimiza masharti ya Iran

    Spika Qalibaf: Hormuz haitafunguliwa hadi pale Marekani itakapotimiza masharti ya Iran

    Sep 20, 2026 14:01

    Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema, Mlango-Bahari wa Hormuz utaendelea kufungwa hadi pale Marekani itakapotambua haki za Jamhuri ya Kiislamu na kutimiza masharti yake iliyotoa kwa ajili ya kuhitimishwa vita.

  • Meli kubwa ya mafuta yalipuka baada ya kukanyaga mabomu ya majini kwenye njia haramu kusini mwa Hormuz

    Meli kubwa ya mafuta yalipuka baada ya kukanyaga mabomu ya majini kwenye njia haramu kusini mwa Hormuz

    Sep 15, 2026 04:15

    Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimetangaza kuwa meli kubwa ya kubeba mafuta ghafi (supertanker) iliyojaribu kupita bila idhini katika eneo lililopigwa marufuku kusini mwa Lango Bahari la Hormuz imelipuka baada ya kukanyaga mabomu ya kutega majini, huku chombo hicho chote kikiwa kimeteketea na kufunikwa na miali mikubwa ya moto.

  • Iran: mkutano wa Oman ni hatua muhimu kuelekea utulivu na usalama wa kikanda

    Iran: mkutano wa Oman ni hatua muhimu kuelekea utulivu na usalama wa kikanda

    Sep 13, 2026 07:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mkutano uliopangwa kufanyika nchini Oman Jumatatu ya kesho utakuwa hatua muhimu kuelekea kuhakikisha utulivu na usalama katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Iran: Mlango Bahari wa Hormuz unabaki kwenye udhibiti wetu kamili; dunia iilaumu US kwa kupanda bei ya mafuta

    Iran: Mlango Bahari wa Hormuz unabaki kwenye udhibiti wetu kamili; dunia iilaumu US kwa kupanda bei ya mafuta

    Sep 13, 2026 07:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje amesisitiza kuwa Mlango wa Bahari wa Hormuz unasalia kuwa chini ya udhibiti kamili wa Iran, akisema Marekani ndiye wa kulaumiwa kwa kuvurugika usalama wa baharini wa eneo hilo na inapasa ilaumiwe pia kwa kupanda bei ya mafuta duniani.

  • Meja Jenerali Rezaei: Iran itaainisha 'eneo jipya la marufuku' nje ya Mlango-Bahari wa Hormuz

    Meja Jenerali Rezaei: Iran itaainisha 'eneo jipya la marufuku' nje ya Mlango-Bahari wa Hormuz

    Sep 07, 2026 03:37

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amesema, eneo jipya la marufuku nje ya Mlango-Bahari wa Hormuz litatangazwa katika siku zijazo, akionya kwamba chombo chochote kitakachoingia katika eneo hilo bila mashauriano na Tehran kitawekwa kwenye orodha ya vikwazo vya Iran.

  • PGSA: Iran itazuilia na kutwaa meli zinazokiuka sheria za Lango-Bahari la Hormuz

    PGSA: Iran itazuilia na kutwaa meli zinazokiuka sheria za Lango-Bahari la Hormuz

    Aug 24, 2026 06:15

    Mamlaka ya Lango-Bahari la Ghuba ya Uajemi (PGSA), ambayo ni chombo cha udhibiti cha Iran cha Lango-Bahari la Hormuz, imetangaza kwamba meli zinazokiuka itifaki za Iran za njia hiyo ya majini ya kimkakati zitakabiliwa na vikwazo kwenye njia za baadaye, ikiwa ni pamoja na faini, kuzuiliwa, au kutwaliwa.

  • Mkuu wa Usalama: Iran itaendelea kufunga Hormuz hadi Marekani itimize majukumu yake

    Mkuu wa Usalama: Iran itaendelea kufunga Hormuz hadi Marekani itimize majukumu yake

    Aug 23, 2026 14:24

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itafubaza mashinikizo ya kiuchumi ya Marekani ikiwa ni pamoja na kuzichukulia hatua nchi ambazo zinashiriki katika “vita vya kiuchumi” vya Marekani dhidi ya Iran.

  • Mkuu wa Idara ya Mahakama amwambia Trump: Iran ndiyo mmiliki na mtawala wa Lango la Hormuz

    Mkuu wa Idara ya Mahakama amwambia Trump: Iran ndiyo mmiliki na mtawala wa Lango la Hormuz

    Aug 16, 2026 05:56

    Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholam-Hossein Mohseni-Eje’i, amezitaja kauli za hivi karibuni za Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu umiliki wa Lango Bahari la Hormuz kuwa ni "upuuzi," akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ndiyo mmiliki na mtawala halisi wa lango hilo.

  • Rezaei: Mlango-Bahari wa Hormuz utafunguliwa ikiwa tu US itayakubali masharti ya Iran

    Rezaei: Mlango-Bahari wa Hormuz utafunguliwa ikiwa tu US itayakubali masharti ya Iran

    Aug 12, 2026 12:33

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, kufunguliwa tena kikamilifu Mlango-Bahari wa Hormuz katika Ghuba ya Uajemi, ambao umewekewa vizuizi vya uvukaji na Iran tangu mwanzoni mwa mwezi Machi kutokana na uchokozi wa kijeshi wa Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel kutafanyika pale tu Marekani itakapoyakubali masharti ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS