Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Idlib

  • Maafikiano ya Sochi na uungaji mkono wa Iran kwa utumizi wa diplomasia kutatua kadhia ya Idlib

    Maafikiano ya Sochi na uungaji mkono wa Iran kwa utumizi wa diplomasia kutatua kadhia ya Idlib

    Sep 19, 2018 14:18

    Makubaliano yaliyofikiwa mjini Sochi kati ya Russia na Uturuki kuhusu kadhia ya eneo la Idlib lililoko kaskazini magharibi mwa Syria baada ya kikao kilichofanyika mjini Tehran kati ya marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki yamekaribishwa na kuungwa mkono na Iran. Maafikiano hayo ni ishara ya mwendelezo wa njia athirifu za kidiplomasia.

  • Russia: Magaidi wapeleka Idlib matanki ya gesi ya kemikali

    Russia: Magaidi wapeleka Idlib matanki ya gesi ya kemikali

    Sep 16, 2018 07:37

    Msemaji wa kituo cha usitishaji vita cha Russia huko Syria amearifu kuwa magaidi wanajiandaa kuanzisha chokochoko dhidi ya raia wa Syria kwa kutumia mada za kemikali na kwamba tayari wamepelekea matanki yenye gesi ya klorini katika eneo la kiraia katika mkoa wa Idlib magharibi mwa Syria.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Makombora ya Sepah ni onyo kwa maadui wa Iran

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Makombora ya Sepah ni onyo kwa maadui wa Iran

    Sep 14, 2018 15:38

    Imam wa muda wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezungumzia shambulizi la makombora lililofanywa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (Sepah) dhidi ya mkutano wa viongozi wa kundi moja la kigaidi katika eneo la Kurdistan huko kaskazini mwa Iraq na kusema kuwa hatua hiyo inaonesha umakini wa vyombo vya upelelezi vya Iran na ni tahadhari na onyo kali kwa maadui wa kikanda na kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Zarif: Mapatano ya kumaliza ugaidi na mateso ya wananchi wa Idlib Syria yameshafikiwa

    Zarif: Mapatano ya kumaliza ugaidi na mateso ya wananchi wa Idlib Syria yameshafikiwa

    Sep 08, 2018 01:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kikao cha pande tatu za Iran, Russia na Uturuki kilichofanyika hapa Tehran jana Ijumaa, kumefikiwa mapatano ya kumaliza ugaidi na mateso ya wananchi wa mkoa wa Idlib, nchini Syria.

  • Waziri wa Syria: Kuna baadhi ya nchi zinafanya njama kufelisha maridhiano Idlib

    Waziri wa Syria: Kuna baadhi ya nchi zinafanya njama kufelisha maridhiano Idlib

    Sep 05, 2018 02:31

    Waziri wa Maridhiano ya Kitaifa nchini Syria amesema kuwa, kuna baadhi ya nchi zinafanya njama ya kufelisha mpango wa usuluhishi katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.

  • Papa Francis: Jamii ya kimataifa izuie maafa ya binadamu Idlib

    Papa Francis: Jamii ya kimataifa izuie maafa ya binadamu Idlib

    Sep 03, 2018 03:32

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ameitaka jamii ya kimataifa itumie njia za kidiplomasia na mazungumzo kuzuia maafa ya binadamu katika mkoa wa Idlib nchini Syria.

  • Njama mpya za magaidi wa Syria za kupeleka gesi ya sumu katika mkoa wa Idlib

    Njama mpya za magaidi wa Syria za kupeleka gesi ya sumu katika mkoa wa Idlib

    Aug 25, 2018 02:20

    Genge la watu wanaovaa kofia nyeupe ambalo lina mfungamano na mashirika ya kijasusi ya Uingereza na Marekani limefanya njama mpya dhidi ya Syria kwa kupeleka shehena ya gesi ya sumu aina chlorine katika mji wa Jisr al-Shughur mkoani Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.

  • Magaidi wazidi kutwangana Syria, zaidi ya 100 wauana kwa umati

    Magaidi wazidi kutwangana Syria, zaidi ya 100 wauana kwa umati

    Jun 17, 2018 15:13

    Zaidi ya magaidi 100 wameuawa kaskazini na kaskazini magharibi mwa Syria katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe katika kwenye kipindi cha chini ya miezi miwili iliyopita.

  • Magaidi wazidi kuuana nchini Syria baada ya tofauti zao za kimaslahi kushtadi

    Magaidi wazidi kuuana nchini Syria baada ya tofauti zao za kimaslahi kushtadi

    Jun 03, 2018 02:43

    Kwa mara nyingine makundi ya kigaidi na ukufurishaji nchini Syria yameshambuliana na kusababisha kuuawa na kujeruhiwa idadi kadhaa miongoni mwao, baada ya kushtadi tofauti zao.

  • Mapigano yashtadi kati ya makundi ya kigaidi mjini Idlib nchini Syria

    Mapigano yashtadi kati ya makundi ya kigaidi mjini Idlib nchini Syria

    May 14, 2017 03:40

    Sambamba na kukaribia kwa duru mpya ya mazungumzo ya Geneva kuhusiana na mgogoro wa Syria, mapigano yameshtadi kati ya makundi ya wabeba silaha katika mji wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS