-
Rais wa Iran: Waislamu wanapaswa kuwa na mchango athirifu katika kukabiliana na watendajinai duniani
Apr 01, 2025 15:18Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na viongozi wa nchi mbalimbali, akiwapongeza kwa mnasaba wa kusherehekea sikukuu ya Idul-Fitr. Amesisitiza ulazima wa kuimarishwa zaidi umoja na uhusiano wa kindugu baina ya nchi za Waislamu na ulazima wa kuzima njama za maadui.
-
Rais wa Iran: Mwelekeo wa mazungumzo unategemea mwenendo wa Wamarekani
Mar 31, 2025 02:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran haijawahi kukwepa mazungumzo, lakini ni aina ya mwenendo wa Wamarekani ndio unaoamua ikiwa mazungumzo yataendelea au la.
-
Ujumbe wa HAMAS wa Sikukuu ya Idul Fitr
Mar 30, 2025 11:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa ujumbe wa Sikukuu ya Idul Fitr kwa kuyataka mataifa ya Kiislamu na Kiarabu kuongeza juhudi na uungaji mkono kwa Wapalestina ili kukomesha jinai za Israel na kuondolewa mzingiro kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Rais wa Iran awatumia Waislamu salamu za pongezi kwa mnasaba wa Sikukuu ya Idul-Fitr
Apr 22, 2023 02:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za kheri na fanaka kwa Waislamu kwa mnasaba wa kuwadia siku kuu ya Idul Fitr ambayo ni siku ya kurejea katika Fitra na ni wakati wa fahari na furaha kwa waliofunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na waja wema wa Mwenyezi Mungu.
-
Qatar na Iran zasisitiza uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina
Apr 21, 2023 11:17Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni katikia sera za kigeni za Tehran zinazopewa kipaumbele.
-
Ujumbe wa Idi wa makundi ya muqawama: Mapambano dhidi ya mabeberu yataendelea
May 04, 2022 02:36Brigedi za Hizbullah nchini Iraq zimesema kuwa, zitaendeleza muqawama na kushikamana vilivyo na Uislamu hadi pale ubeberu wa madola ya Magharibi utakapoangamizwa katika nchi za Waislamu.
-
Rais wa Iran asisitiza udharura wa kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
May 03, 2022 04:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja matukio ya karibuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina kuwa yasiyokubalika na kueleza kuwa: Kuna ulazima wa kufanyika juhudi za kusitisha mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina kupitia msaada wa nchi za Kiislamu na jitihada za kimataifa.
-
Asasi za Kiislamu Marekani zasusia dhifa ya Idi White House kulalamikia uungaji mkono wa Washington kwa jinai za Israel
May 17, 2021 03:35Jumuiya na asasi za Kiislamu nchini Marekani zimesusa kuhudhuria dhifa ya kila mwaka ya Idul-Fitri inayoandaliwa na Ikulu ya White House kulalamikia uungaji mkono wa serikali ya nchi hiyo kwa jinai za kinyama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wakiwemo wa Ukanda wa Gaza.
-
Maelfu ya Wapalestina washiriki katika Sala ya Idul Fitr kwenye Msikiti wa al Aqsa
May 13, 2021 11:37Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr leo Alkhamisi asubuhi katika Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu licha ya sheria kali zilizowekwa na utawala wa Kizayuni ambao siku chache zilizopita wanajeshi wa utawala huo katili waliwashambulia kwa mabomu Waislamu waliokuwa wanasali ndani ya Msikiti huo.
-
Maelfu wahudhuria Swala ya Idi katika miji mbalimbali ya Iran, Rais Rouhani awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu
May 13, 2021 08:10Maelfu ya Waislamu wa Iran leo wameshiriki katika Swala ya Idul Fitri kwa kuchunga sheria na taratibu za kuzuia maambukizi ya corona, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.