-
Imarati na Qatar katika mkondo wa kupanua mahusiano
Jul 25, 2023 11:44Amir wa Qatar amemteua Sultan Salmeen Saeed Al-Mansouri kuwa balozi wa mpya wa nchi hiyo katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Sisitizo la Russia la kuheshimu umoja wa ardhi yote ya Iran
Jul 16, 2023 08:04Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na mwakilishi maalumu wa rais wa nchi hiyo katika masuala ya Asia Magharibi na Afrika, amesisitiza juu ya kuheshimiwa mamlaka na umoja wa ardhi yote ya Iran kama nchi rafiki. Bogdanov ameyasema hayo katika mkutano na Kazem Jalali, Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow.
-
Abdollahian: Kuimarisha uhusiano na majirani, kipaumbele cha Iran
Jun 22, 2023 07:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalipa uzito suala la kuimarisha uhusiano na ushirikiano na mataifa jirani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Qatar na Imarati zarejesha uhusiano kamili wa kidiplomasia, mabalozi wa pande mbili waanza kazi
Jun 20, 2023 03:14Qatar na Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimetangaza kurejesha kikamilifu uhusiano wao wa kidiplomasia na tayari mabalozi wa pande hizo mbili wameanza kazi.
-
Kujitoa Imarati katika muungano wa baharini na Marekani; Sababu na ujumbe wake
Jun 04, 2023 01:25Wizara ya Mambo ya Nje ya Imarati hivi karibuni ilitoa taarifa na kutangaza kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) miezi miwili iliyopita ulijitoa na kuacha kushiriki kwenye Muungano wa Nguvu ya Baharini kutokana na tathmini yake endelevu ya ushirikiano mzuri wa usalama na washirika wake wote.
-
Iran na Imarati zatilia mkazo kustawisha ushirikiano baina yao
Apr 23, 2023 01:32Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) wamesisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali.
-
Ansarullah yaitaka UAE kuondoa wanajeshi wake Yemen baada ya uamuzi wa Saudi wa kusitisha vita
Apr 08, 2023 11:00Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) unapaswa kuondoa wanajeshi wake kutoka Yemen baada ya Saudi Arabia kulifahamisha Baraza la Uongozi Yemen kuhusu uamuzi wa kuhitimisha vita vya miaka minane vilivyosababisha uharibifu mkubwa nchini humo.
-
Imarati yajikomba zaidi kwa Israel, shule za nchi hiyo kufunza 'Holocaust'
Jan 10, 2023 07:17Umoja wa Falme za Kiarabu unaendelea kujidhalilisha na kujipendekeza kwa utawala haramu wa Israel, na sasa shule za nchi hiyo zinazatamiwa kuanza kufundisha 'ngano ya Holocaust' yaani mauaji ya halaiki ya Wayahudi yanayodaiwa kufanywa na utawala wa Kinazi wa Ujerumani chini ya uongozi wa Adolf Hitler.
-
Marekani yaituhumu Imarati kuwa inaingilia siasa zake
Nov 14, 2022 02:23Ripoti ya siri iliyotolewa na maafisa wa Idara ya Intelijensia ya Marekani imedai kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu umefanya jitihada kubwa za kujaribu kutatiza na kuvuruga mfumo wa kisiasa wa Marekani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na mawaziri wenzake wa Uganda, Eritrea na Imarati
Sep 25, 2022 06:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alionana kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Uganda, Eritrea na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kubadilishana nao mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa. Mazungumzo ya mawaziri hao yamefanyika mjini New York, Marekani.