-
Imarati ilitaka kuivamia kijeshi Qatar kwa kutumia mamluki wa US
Oct 15, 2017 04:20Imebainika kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulikula njama ya kuishambulia kijeshi Qatar, kwa kutumia maelfu ya mamluki waliopata mafunzo ya kijeshi kutoka kampuni moja ya Marekani.
-
Imarati yaitaka Qatar isiandae Kombe la Dunia 2022
Oct 09, 2017 04:25Afisa wa ngazi za juu wa usalama katika Umoja wa Falme za Kiarabu amesema mgogoro uliopo kati ya Doha na nchi kadhaa za Kiarabu zikiongozwa na Saudi Arabia utapatiwa ufumbuzi iwapo Qatar itaachana na azma yake ya kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia mwaka 2022.
-
UAE inanunua kwa siri silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 08, 2017 11:10Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE au Imarati, inanunua kwa siri silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Somalia yakerwa na hatua ya Galmudug kukata uhusiano na Qatar
Sep 22, 2017 04:27Serikali kuu ya Somalia imekosoa vikali hatua ya eneo lenye mamlaka ya ndani la Galmudug kutangaza kuwa linaziunga mkono Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu katika mgogoro wa nchi za Kiarabu.
-
Imarati inanunua nyumba za wakazi wa Baitul Muqaddas kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni
Sep 03, 2017 09:13Naibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu amesema kuwa mashirika na taasisi za Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) yananunua nyumba za wakazi wa Baitul Muqaddas zilizo karibu na msikiti wa al Aqsa kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni.
-
Saudia na Imarati zinajiandaa kuweka wazi mahusiano yao na utawala wa Kizayuni
Jul 29, 2017 09:14Sambamba na kuwepo mahusiano ya muda mrefu kati ya nchi zinazolizingira kwa kila upande taifa la Qatar na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, habari zinaarifu kwamba Saudia na Imarati zinajiandaa kuweka wazi mahusiano hayo kwa walimwengu.
-
Uungaji mkono mkubwa wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa magaidi kusini mwa Yemen
Jul 24, 2017 07:39Shirika la kutetea haki za binadamu la Ulaya na Mashariki ya Kati limetoa ripoti inayoeleza kuwa kuna makundi kadhaa ya kigaidi yanayoendesha harakati zao katika mji wa Aden kusini mwa Yemen kwa uungaji mkono kamili wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Imarati na Saudia zakataa wito wa Qatar wa mazungumzo
Jul 23, 2017 09:37Umoja wa Falme za Kiarabu umekataa wito uliotolewa hivi karibuni na Amir wa Qatar, Sheikh Tamin bin Hamad al-Thani, wa kufanyika mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo, na kusisitiza kuwa Doha sharti ibadili sera zake kabla ya kufanyika jitihada zozote za kuiondolea vikwazo nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi, iivyowekewa na Saudia na wapambe wake.
-
Imarati: Juhudi za upatanishi wa Kuwait katika mgogoro wa nchi za Kiarabu zitaambulia patupu
Jul 18, 2017 21:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Imarati, Anwar Mohammed Qarqash amesema kuwa, juhudi za upatanishi wa Kuwait kwa ajili ya kutafuta utatuzi wa mgogoro wa nchi za Kiarabu, zitaambulia patupu iwapo Qatar haitabadilisha siasa zake.
-
Qatar kuishtaki Imarat kwa kuhusika na udukuzi
Jul 18, 2017 10:44Serikali ya Qatar imeeleza kusikitishwa sana na hatua ya Imarat ya kudukua mitandao ya intaneti ya serikali ya Doha, suala ambalo limeibuka mgogoro wa sasa kati ya nchi hizo mbili na kusisitiza kuwa, Doha itawafungulia mashtaka wahusika wa uhalifu huo.