-
Nchi za Kiarabu zilizoiwekea vikwazo Qatar zadhurika kiuchumi
Jul 08, 2017 22:21Kuongezeka mivutano katika uhusuano wa nchi nne za Kiarabu na Qatar kumezisababishia madhara makubwa ya kiuchumi nchi za Saudia na Imarati.
-
Chama cha Leba cha Uingereza chataka uchunguzi kuhusu jela za Imarati Yemen
Jul 02, 2017 10:47Mkuu wa chama cha Leba cha nchini Uingereza amesema kuna udharura wa kufanyika uchunguzi kuhusu jela za siri za mateso za Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen.
-
Kufichuliwa ushiriki wa Imarati katika vitendo vya kigaidi vya Israel
Jun 17, 2017 07:49Habari mbalimbali zimearifu tukio jipya la namna Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unavyoshiriki katika vitendo vya kigaidi vya utawala wa Israel; suala ambalo katika siku za hivi karibuni kwa mara nyingine tena limeakisi ushirikiano uliopo kati ya watawala wa Kiarabu na maghasibu wanaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu katika kuwakandamiza wananchi wa Palestina na kusogeza mbele siasa za kigaidi za Israel.
-
Ripoti: Imarati ilitoa dola bilioni 3 kufadhili mapinduzi ya kijeshi Uturuki
Jun 13, 2017 23:48Gazeti moja la kila siku la Uturuki limeandika kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulitoa kitita cha dola bilioni 3 za Marekani kwa ajili ya kufadhili jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililofeli mwezi Julai mwaka jana 2016 nchini Uturuki.
-
Amnesty yashutumu uamuzi wa Saudia na wapambe wake dhidi ya Qatar
Jun 13, 2017 09:26Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali hatua zisizo na mantiki za Saudi Arabia na wapambe wake dhidi ya Qatar.
-
UN: Imarati imekiuka vikwazo vya silaha, Libya
Jun 10, 2017 11:26Umoja wa Mataifa umesema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umekiuka vikwazo vya silaha vya Libya.
-
Qatar: Madai dhidi yetu si ya kweli na hayana msingi
Jun 05, 2017 03:15Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukata uhusiano na Qatar mapema leo Jumatatu, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imesema, imesikitishwa na hatua hiyo.
-
Kuongezeka ushawishi wa uzushaji fitna wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) nchini Yemen
May 07, 2017 02:40Vibaraka na mamluki wa Umoja wa Ufalme za Kiarabu nchini Yemen wametangaza kuundwa asasi mpya ya kisiasa kusini mwa nchi hiyo kwa ajili ya uendeshaji masuala ya eneo hilo.
-
Wayemen waikosoa Imarati kwa kuanzisha mrengo wa wanamgambo nchini mwao
May 06, 2017 22:05Viongozi wa kisiasa wa maeneo ya kusini mwa Yemen wanaoishi mjini Sana'a, mji mkuu wa Yemen wamekosoa vikali hatua ya serikali ya Imarati ya kuanzisha mrengo wa wanamgambo ndani ya ardhi yao kwa lengo la kuigawa Yemen na kudhibiti maeneo ya kusini mwa taifa hilo.
-
Radiamali ya serikali ya Somalia kwa mapatano ya Imarati na Somaliland
Feb 15, 2017 03:59Serikali ya Somalia imepinga makubaliano yaliyofikiwa kati ya Jamhuri iliyojitangazia uhuru ya Somaliland na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa ajili ya kujenga kambi ya kijeshi ya Abu-Dhabi katika eneo hilo.