-
Harakati za Saudi Arabia na Imarati dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Nov 13, 2016 09:05Duru za kisiasa zenye mfungamano na Saudi Arabia kwa siku kadhaa sasa zimeanzisha duru mpya ya harakati za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran.
-
Maafisa wa Israel wafanya ziara ya siri huko Imarati
Nov 05, 2016 00:05Licha ya Umoja wa Falme za Kiarabu kutokuwa na uhusiano wa kidiplomasia wala kutoutambua utawala haramu wa Israel, lakini maafisa wa ngazi za juu wa utawala huo wa Kizayuni wamefanya safari ya siri mjini Dubai.
-
Wafungwa 15 wa Guantanamo wahamishiwa Imarati
Aug 16, 2016 23:28Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imewahamisha wafungwa 15 wa jela ya kutisha ya Guantanamo na kuwapeleka katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ukiwa ni uhamisho mkubwa zaidi wa wafungwa hao kufanywa na utawala wa Rais Barack Obama wa Marekani.
-
Imarati yawataka raia wake wasivae kanzu, buibui wakiwa nje ya nchi
Jul 04, 2016 09:53Imarati (UAE) imewataka raia wake wajiepushe kuvaa kanzu na buibui wakiwa nje ya nchi ili wasifananishwe na wafuasi wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh
-
Israel, Misri, UAE na Jordan zapanga kumtimua Rais wa Palestina
May 29, 2016 23:56Utawala wa Kizayuni wa Israel na waitifaki wake ikiwemo Misri, Umoja wa Falme za Kiarabu na Jordan zinapanga njama ya kumuondoa madarakani Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas.
-
Ndege ya Dubai yaanguka Russia, 62 wafariki
Mar 19, 2016 00:01Watu 62 wamefariki dunia mapema leo baada ya ndege ya abiria ya Shirika la Fly Dubai kuanguka wakati ikijaribu kutua katika mji wa Rostov-on-Don kusini mwa Russia karibu na mpaya wa nchi hiyo na Ukraine.