-
Kiongozi Muadhamu: India isitishe mauaji ya Waislamu iwapo haitaki kutengwa
Mar 05, 2020 09:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitahadharisha serikali ya India dhidi ya kuendelea kutekeleza mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, ukandamizaji unaoendelea kufanyiwa Waislamu katika nchi hiyo ya kusini mwa Asia utapelekea serikali ya New Delhi itengwe katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Spika wa Bunge la Iran aitaka India ihitimishe mzozo uliopo kwa njia za amani
Mar 05, 2020 04:48Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kusikitishwa kwake na mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu nchini India na ameitaka serikali ya New Delhi, itumie mbinu na uwezo wote kwa ajili ya kuhitimisha mzozo uliopo kwa njia za amani.
-
Wahindu wenye kufurutu ada wachoma moto misikiti nchini India
Mar 04, 2020 09:46Serikali ya India imefichua habari ya kuchomwa moto kikamilifu misikiti tisa na mamia ya nakala za Qur'an Tukufu katika shambulizi lililofanywa na Wahindu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Waislamu.
-
Zarif akosoa ukatili na ghasia zilizopangwa dhidi ya Waislamu India
Mar 03, 2020 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalaani vikali ukatili na ghasia zilizoratibiwa dhidi ya Waislamu nchini India, akisisitiza kuwa njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo ni kufuata sheria na mazungumzo ya amani.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya Wahadhiri wa Kiislamu yalaani mauaji ya Waislamu nchini India
Mar 02, 2020 22:56Jumuiya ya Kimataifa ya Wahadhiri Waislamu wa Vyuo Vikuu (International Association of Muslim University Professors) imelaani mauaji yanayofanyika nchini India dhidi ya Waislamu na kutoa wito wa kukomeshwa kimya cha kimataifa kuhusiana na jinai hiyo.
-
Iran yasikitishwa na ukandamizaji dhidi ya Waislamu nchini India
Mar 02, 2020 09:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza masikitiko yake kuhusiana na ukandamizaji wanaofanyiwa Waislamu nchini India na kusema kuwa, Tehran inaitambua India kuwa ni nchi ya kuvumiliana kidini; hivyo habari za kuwepo ukandamizaji dhidi ya Waislamu nchini humo ni suala linalotia wasiwasi mkubwa.
-
Mamia waandamana katika miji ya US kulaani mauaji ya Waislamu India
Mar 01, 2020 04:26Mamia ya raia wa Marekani wenye asili ya India wamefanya maandamano katika miji mikubwa ya Marekani kulaani na kupinga ghasia zilizopelekea makumi ya watu kuuawa katika mji mkuu wa India, New Delhi.
-
Wasiwasi wa Pakistan kuhusu mkataba wa mauzo ya silaha baina ya India na Marekani
Feb 29, 2020 23:04Serikali ya Pakistan imetahadharisha kuhusu athari mbaya za mkataba wa kijeshi uliotiwa saini baina ya nchi za India na Marekani.
-
Kumalizika ziara ya Trump nchini India
Feb 27, 2020 04:38Ziara ya siku mbili ya Rais Donald Trump wa Marekani huko India imemalizika katika hali ambayo hakujatangazwa habari yoyote kuhusu kufikiwa mapatano makubwa ya kibiashara kati ya nchi mbili hizo.
-
Ghasia zashtadi India, waliouawa New Delhi wafika 24
Feb 26, 2020 22:55Idadi ya waliouawa katika ghasia zilizosababishwa na sheria tatu yenye kuwabagua Waislamu katika mji mkuu wa India, New Delhi imeongezeka na kufikia watu 24.