Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Waziri wa Ulinzi India: China na Pakistan zinajiandaa kutushambulia

    Waziri wa Ulinzi India: China na Pakistan zinajiandaa kutushambulia

    Jul 21, 2017 03:22

    Waziri wa zamani wa Ulinzi nchini India amesema kuwa, serikali ya Pakistan na China ambazo ni washindani wakubwa na hatari sana wa New Delhi, zinajiandaa kufanya shambulizi dhidi ya nchi hiyo.

  • Onyo la Waziri Mkuu wa India dhidi ya Wahindu wenye misimamo ya kufurutu ada

    Onyo la Waziri Mkuu wa India dhidi ya Wahindu wenye misimamo ya kufurutu ada

    Jul 18, 2017 21:57

    Waziri Mkuu wa India kwa mara nyingine tena amewataka Wahindu wenye misimamo ya kufurutu ada kuacha kuhatarisha usalama wa nchi hiyo kwa kisingizio cha kuchinjwa na kufanywa kitoweo nyama ya ng'ombe kunakofanywa na jamii ya Waislamu.

  • Waziri Mkuu wa India: Wahindu waache vurugu kwa sababu ya kuchinjwa ng'ombe, mungu wao

    Waziri Mkuu wa India: Wahindu waache vurugu kwa sababu ya kuchinjwa ng'ombe, mungu wao

    Jul 17, 2017 09:32

    Hatimaye Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amewataka Wahindu waache vurugu na machafuko yanayotokana na kupinga kuchinjwa ng'ombe na kuliwa nyama yake kunakofanywa na jamii ya Waislamu nchini humo.

  • Safari ya Waziri Mkuu wa India katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu

    Safari ya Waziri Mkuu wa India katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu

    Jul 05, 2017 06:28

    Safari ya Narendra Modi, Waziri Mkuu wa India katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni imetajwa kwa mtazamo wa duru za habari na kisiasa kuwa ni safari ya kihistoria kwa kuwa huyo ni Waziri Mkuu wa kwanza wa India kufanya ziara kama hiyo.

  • Waislamu wa India waandamana kulaani uharibifu wa Mawahabi wa Saudia wa turathi za Kiislamu

    Waislamu wa India waandamana kulaani uharibifu wa Mawahabi wa Saudia wa turathi za Kiislamu

    Jul 01, 2017 08:59

    Idadi kubwa ya Waislamu wa Kisuni na Kishia kwa kushirikiana na wasomi mbalimbali nchini India, wamefanya maandamano ya kuwadia kumbukumbu chungu ya tarehe 8 Shawwal ya hatua ya Mawahabi ya kuharibu makaburi matukufu ya eneo la Baqii katika viunga vya mji wa Madina, huko Saudia.

  • Iran: Waislamu tuwe macho; mashambulizi ya kigaidi ya Tehran hayana uhusiano na madhehebu yoyote ya Kiislamu

    Iran: Waislamu tuwe macho; mashambulizi ya kigaidi ya Tehran hayana uhusiano na madhehebu yoyote ya Kiislamu

    Jun 10, 2017 23:55

    Ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mji wa Hyderabad nchini India umejibu madai ya gazeti la Times of India na kusisitiza kuwa waliofanya mashambulizi ya kigaidi ya mjini Tehran ni magaidi na hawana uhusiano wowote na madhehebu ya Kisuni.

  • Vitisho vya wahindu wenye misimamo ya kufurutu ada dhidi ya Waislamu wa Kirohingya wa Myanmar

    Vitisho vya wahindu wenye misimamo ya kufurutu ada dhidi ya Waislamu wa Kirohingya wa Myanmar

    May 09, 2017 09:03

    Waislamu wakimbizi wa Kirohingya wa Myanmar ambao wamekimbilia India wakikwepa utumiaji mabavu wa jeshi dhidi yao, hivi sasa wanatishiwa kuuawa huko Kashimir na wahindu wenye misimamo ya kufurutu ada.

  • HRW: India iwazuie Wahindu wanowaua Waislamu wenye kuchinja ng'ombe

    HRW: India iwazuie Wahindu wanowaua Waislamu wenye kuchinja ng'ombe

    Apr 28, 2017 22:02

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeitaka serikali ya India ichukue hatua kuzuia mauaji yanayofanywa na Wahindu dhidi ya Waislamu kwa sababu tu wanachinja ng'ombe.

  • Uamuzi wa Mahakama Kuu India dhidi ya viongozi wa chama tawala, kubomolewa Msikiti wa Babri

    Uamuzi wa Mahakama Kuu India dhidi ya viongozi wa chama tawala, kubomolewa Msikiti wa Babri

    Apr 20, 2017 03:29

    Mahakama Kuu ya India imetangaza kuwa, viongozi watatu wa ngazi za juu wa chama tawala cha Bharatiya Janata (BJP) wanapaswa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuharibu Msikiti wa Babri na mauaji ya Waislamu.

  • Wanasiasa wa chama tawala India kizimbani kwa kuchochea kubomolewa msikiti

    Wanasiasa wa chama tawala India kizimbani kwa kuchochea kubomolewa msikiti

    Apr 19, 2017 10:55

    Mahakama ya Juu nchini India imetoa hukumu kwamba wanasiasa wa chama tawala nchini humo cha Bharatiya Janata Party (BJP) wanapaswa kupandishwa kizimbani kwa kuhusika na kitendo cha kubomolewa msikiti wa kihistoria nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS