-
Uamuzi wa Mahakama Kuu India dhidi ya viongozi wa chama tawala, kubomolewa Msikiti wa Babri
Apr 20, 2017 03:29Mahakama Kuu ya India imetangaza kuwa, viongozi watatu wa ngazi za juu wa chama tawala cha Bharatiya Janata (BJP) wanapaswa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuharibu Msikiti wa Babri na mauaji ya Waislamu.
-
Wanasiasa wa chama tawala India kizimbani kwa kuchochea kubomolewa msikiti
Apr 19, 2017 10:55Mahakama ya Juu nchini India imetoa hukumu kwamba wanasiasa wa chama tawala nchini humo cha Bharatiya Janata Party (BJP) wanapaswa kupandishwa kizimbani kwa kuhusika na kitendo cha kubomolewa msikiti wa kihistoria nchini humo.
-
Mabaharia kadhaa wa India watekwa nyara katika fukwe za Somalia
Apr 03, 2017 09:52Afisa mmoja anayehusika na vita dhidi ya maharamia wa baharini nchini Somalia ametangaza habari ya kutekwa nyara mabaharia 11 wa India katika fukwe za Somalia.
-
India: Mashambulizi ya kibaguzi dhidi ya raia wetu nchini Marekani hayakubaliki
Mar 10, 2017 09:50Waziri wa Mambo ya Ndani nchini India sambamba na kulaani mashambulizi ya kibaguzi dhidi ya raia wa nchi hiyo huko Marekani, amesema kuwa New Delhi itaendelea kuwalinda raia wake walioko nje ya nchi.
-
Mashambulizi dhidi ya umoja wa umma wa Kiislamu, changamoto kuu kwa Waislamu
Feb 18, 2017 04:16Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu amesema kuwa, changamoto kuu inayoukabili ulimwengu wa Kiislamu hivi sasa ni mashambulizi dhidi ya umoja wa umma wa Kiislamu.
-
Mapenzi kwa Ahlul Bayt AS, chimbuko la Umoja wa umma wa Kiislamu
Feb 16, 2017 00:37Ayatulla Mohsen Araki, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu amesema, mapenzi kwa Ahlul Bayt wa Mtume Muhammad SAW ni chimbuko la umoja wa umma wa Kiislamu.
-
Watu zaidi ya 30 wapoteza maisha katika ajali ya treni India
Jan 22, 2017 04:48Makumi ya watu wamepoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa katika ajali mbaya ya treni iliyotokea jana jioni kusini mashariki mwa India.
-
Watu zaidi ya 90 waaga dunia katika ajali ya treni nchini India
Nov 20, 2016 04:35Makumi ya watu wamepoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa katika ajali mbaya ya treni iliyotokea mapema leo kaskazini mwa India.
-
Mgogoro wa Kashmiri na juhudi za Pakistan za kuufanya kuwa wa kimataifa
Sep 20, 2016 09:31Katika hali ambayo eneo lenye Waislamu wengi la Kashmiri, upande unaodhibitiwa na India, linaendelea kushuhudia malalamiko ya wananchi Waislamu, viongozi wa serikali ya Pakistan wanafanya juhudi za kuufanya mgogoro huo kuwa wa kimataifa kupitia kuishawishi jamii ya kimataifa iingilie kati.
-
Zaidi ya watu 300 wafariki dunia kwa mafuriko nchini India
Aug 24, 2016 03:07Zaidi ya watu 300 wanaripotiwa kufariki dunia nchini India kufuatia janga la mafuriko yaliyotokea mashariki na katikati mwa nchi hiyo.