-
UN yazitaka India na Pakistan ziruhusu uchunguzi Kashmir
Aug 17, 2016 23:09Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza masikitiko ya umoja huo baada ya serikali za Pakistana na India kukataa kuwapa kibali maofisa wa UN kulitembelea eneo lenye mzozo la Kashmir, katika mpaka wa nchi mbili hizo.
-
Msomi wa Kisunni Iran atoa wito wa kuugwa mkono Waislamu Kashmir
Jul 21, 2016 23:47Msomi wa Kisunni ambaye pia ni mwanachama wa Baraza la Wataalamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito kwa Waislamu kote duniani kulaani mauaji ya hivi karibuni ya ndugu zao wa eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.
-
Zaidi ya 44 wauawa katika mapigano Kashmir inayodhibitiwa na India
Jul 19, 2016 23:23Zaidi ya watu 44 wameuawa kufikia Jumanne katika mapigano yalianza Julai 9 katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.
-
Wakongomani waandamana kulalamikia kuuliwa raia wa Kongo nchini India
Jul 07, 2016 02:54Hali ya wasiwasi imetawala Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya watu kumiminika mitaani kulalamikia kuuawa raia mmoja wa nchi hiyo huko India.
-
Mwanamke aanguka kwenye moto na kuungua wakati wa ibada India
Jun 01, 2016 09:02Mwanamke mmoja aliyekuwa katika ibada ya kupita juu ya moto nchini India aanguka katikati ya makaa ya moto na kuanza kuungua
-
Zaidi ya 100 waaga dunia katika wimbi la joto kali nchini India
Apr 21, 2016 10:52Watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha kutokana na joto kali nchini India, ambalo limepelekea kufungwa mashule na kukwamisha shughuli mbalimbali za kila siku.
-
Mazungumzo ya Rais Rouhani na Waziri wa Mambo ya Nje wa India
Apr 17, 2016 23:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na India ni kwa maslahi ya usalama na ustawi wa kiuchumi wa eneo.
-
Idadi ya waliokufa katika mkasa wa moto India yapindukia 100
Apr 10, 2016 03:21Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mkasa wa moto uliotokea alfajiri ya leo kusini mwa India imepindukia 100.
-
84 waaga dunia katika mkasa wa moto kusini mwa India
Apr 09, 2016 23:44Kwa akali watu 84 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa katika mkasa wa moto uliotokea mapema leo katika mji bandari wa Kollam, kusini mwa India.
-
Waislamu India wapinga uchochezi wa Wahindu
Mar 02, 2016 03:45Waislamu wa India wamefanya maandamano mjini New Delhi wakipinga vitendo vya kichochezi vinavyofanywa na Wahindu wenye misimamo mikali.