Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Twitter yaungana na serikali ya India kuwakandamiza Waislamu, yafunga akaunti za watetezi wao

    Twitter yaungana na serikali ya India kuwakandamiza Waislamu, yafunga akaunti za watetezi wao

    Jun 28, 2022 13:30

    Waandishi wa habari na wanaharakati wamepinga ongezeko la hatua za serikali ya India ikishirikiana na mtandao wa kijamii wa Twitter za kuwabana watu mashuhuri wanaowatetea Waislamu na kuunga mkono harakati za maandamano yanayopinga ukandamiza wa serikali ya New Delhi dhidi ya wafuasi wa dini hiyo.

  • Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu yalaani kuvunjiwa heshima Mtume SAW nchini India

    Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu yalaani kuvunjiwa heshima Mtume SAW nchini India

    Jun 10, 2022 10:27

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu amelaani vikali kitendo cha wanasiasa wa India cha kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW.

  • Lebanon: Kitendo cha kiongozi wa India cha kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu lazima kilaaniwe

    Lebanon: Kitendo cha kiongozi wa India cha kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu lazima kilaaniwe

    Jun 09, 2022 03:03

    Waziri Mkuu wa Lebanon amelaani kitendo cha kiongozi mmoja wa India cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, uhalifu huo lazima ulaaniwe.

  • Radiamali mbalimbali kuhusiana na hatua ya baadhi ya viongozi wa chama tawala nchini India ya kumvunjia heshima Mtume SAW

    Radiamali mbalimbali kuhusiana na hatua ya baadhi ya viongozi wa chama tawala nchini India ya kumvunjia heshima Mtume SAW

    Jun 07, 2022 10:48

    Matamshi ya utovu wa adabu ya viongozi wawili wa chama tawala nchini India cha Bharatiya Janata (BJP) dhidi ya Bwana Mtume (SAW) yamekabiliwa na wimbi la malalamiko ya mataifa ya Kiislamu na Waislamu kwa ujumla ulimwenguni.

  • Ansarullah: Kumvunjia heshima Mtume SAW ni kufilisika kimaadili

    Ansarullah: Kumvunjia heshima Mtume SAW ni kufilisika kimaadili

    Jun 06, 2022 10:13

    Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW ni ishara ya wazi ya kufilisika kimaadili.

  • Iran yamuita balozi wa India kulalamikia kauli za kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW

    Iran yamuita balozi wa India kulalamikia kauli za kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW

    Jun 06, 2022 03:36

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa India mjini Tehran kulalamikia vikali matamshi dhidi ya Mtume Mutukufu wa Uislamu, Muhammad SAW ambayo yalitolewa katika mdahalo wa televisheni huko India na kuibua hasira miongoni mwa Waislamu duniani.

  • Wahindu wenye misimamo mikali wateketeza moto msikiti India

    Wahindu wenye misimamo mikali wateketeza moto msikiti India

    May 20, 2022 01:20

    Wahindu wenye misimamo mikali nchini India wameteteketeza moto msikiti kati mwa nchi hiyo.

  • Singapore yapiga marufuku kuonyeshwa filamu ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu

    Singapore yapiga marufuku kuonyeshwa filamu ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu

    May 11, 2022 02:40

    Serikali ya Singapore imepiga marufuku kuonyeshwa nchini humo filamu ya sinema ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).

  • Waislamu wa India wapeleka mahakamani mabuldoza hatari ya kisiasa

    Waislamu wa India wapeleka mahakamani mabuldoza hatari ya kisiasa

    Apr 18, 2022 13:07

    Jumuiya mashuhuri ya Kiislamu imewasilisha ombi katika Mahakama Kuu ya India, ikiitaka kuingilia kati baada ya matingatinga na serikali kuharibu mali na milki za Waislamu wanaotuhumiwa kuhusika na ghasia katika majimbo yanayoongozwa na chama cha Waziri Mkuu, Narendra Modi cha Bharatiya Janata Party (BJP).

  • Safari ya Lavrov nchini India na sisitizo la kutumiwa sarafu ya Ruble katika biashara

    Safari ya Lavrov nchini India na sisitizo la kutumiwa sarafu ya Ruble katika biashara

    Apr 03, 2022 07:03

    Sergey Viktorovich Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amefanya ziara ya siku mbili ya kuitembelea kikazi India na kuonana na waziri mwenzake wa nchi hiyo Subrah Jaishankar na waziri mkuu wa India Narendra Modi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS