Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Waislamu India wakasirishwa na uamuzi wa mahakama ulioidhinisha matamshi ya chuki

    Waislamu India wakasirishwa na uamuzi wa mahakama ulioidhinisha matamshi ya chuki

    Mar 30, 2022 11:48

    Wimbi la kejeli na hasira limetanda katika mitandao ya kijamii nchini India baada ya mahakama kufunga kesi dhidi ya wanasiasa wawili waliotoa matamshi ya kichochezi dhidi ya Waislamu, ikisema kuwa uchochezi si kauli za chuki ukiambatana na tabasamu.

  • Waislamu wapinga mahakamani marufuku ya vazi la hijabu shuleni India

    Waislamu wapinga mahakamani marufuku ya vazi la hijabu shuleni India

    Mar 30, 2022 07:05

    Wanaharakati wa mawakili wa Kiislamu nchini India wameenda katika Mahakama ya Kilele ya jimbo la Kusini mwa India la Karnataka, kuukatia rufaa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuidhinisha marufuku ya vazi la hijabu katika shule na vyuo vikuu vya jimbo hilo.

  • Hizi ndizo nchi zilizopinga Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia)

    Hizi ndizo nchi zilizopinga Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia)

    Mar 20, 2022 02:43

    Katika hatua muhimu, Umoja wa Mataifa wiki hii uliitambua rasmi Machi 15 kama Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu, lakini baadhi ya nchi zilichagua kutounga mkono azimio hilo.

  • Kupasishwa marufuku ya vazi la hijabu katika shule za kusini mwa India

    Kupasishwa marufuku ya vazi la hijabu katika shule za kusini mwa India

    Mar 17, 2022 02:22

    Mahakama ya Juu ya jimbo la Kusini mwa India la Karnataka imeidhinisha marufuku ya vazi la Hijabu katika shule na vyuo vikuu vya jimbo hilo.

  • Marufuku ya hijabu katika skuli za serikali kusini ya India yaidhinishwa rasmi na mahakama

    Marufuku ya hijabu katika skuli za serikali kusini ya India yaidhinishwa rasmi na mahakama

    Mar 15, 2022 13:26

    Siku kadhaa baada ya skuli za jimbo la Karanatka la kusini mwa India kuwapiga marufuku wanafunzi wanawake Waislamu kuvaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu, mahakama ya nchi hiyo imeidhinisha rasmi uamuzi huo.

  • Muigizaji wa India akamatwa kwa kutoa maoni kuhusu kesi ya marufuku ya hijabu

    Muigizaji wa India akamatwa kwa kutoa maoni kuhusu kesi ya marufuku ya hijabu

    Feb 25, 2022 03:19

    Muigizaji na mwanaharakati wa India, Chetan Kumar Ahimsa amekamatwa na polisi kwa madai ya kuchapisha ujumbe wa Twitter akimkosoa mmoja wa majaji wanaosikiliza maombi ya kupigwa marufuku vazi la hijabu mashuleni.

  • 38 wahukumiwa kifo India kwa kuhusika na miripuko ya mabomu ya 2008 mjini Ahmedabad

    38 wahukumiwa kifo India kwa kuhusika na miripuko ya mabomu ya 2008 mjini Ahmedabad

    Feb 19, 2022 02:57

    Mahakama moja nchini India imetoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa watu 38 na ya kifungo cha maisha jela kwa wengine 11 kwa kuhusika na uripuaji mabomu uliotokea mwaka 2008 katika mji wa Ahmedabad magharibi mwa nchi hiyo ambao ulisababisha vifo vya makumi ya watu.

  • Maandamano ya kulaani marufuku ya hijabu shuleni yaenea kote India

    Maandamano ya kulaani marufuku ya hijabu shuleni yaenea kote India

    Feb 14, 2022 03:21

    Maandamano ya kulaani hatua ya skuli kadhaa katika jimbo la Karnataka kusini mwa India kuwazuia wasichana Waislamu wanaovaa hijabu wasiingie madarasani kwa kisingizio cha kutekeleza amri ya wizara ya elimu ya jimbo hilo, yameenea katika pembe mbalimbali za nchi hiyo ya Asia.

  • Mahakama Kuu ya India na mtihani mgumu wa kutekeleza sheria au kuchagua misimamo ya kuchupa mipaka

    Mahakama Kuu ya India na mtihani mgumu wa kutekeleza sheria au kuchagua misimamo ya kuchupa mipaka

    Feb 13, 2022 04:16

    Kushadidi kwa mizozo na hitilafu juu ya vazi la hijabu la wasichana na wanawake wa Kiislamu katika vyuo na taasisi za elimu katika jimbo la Karnataka huko kusini mwa India kumezusha hali ya wasiwasi na hofu kwa jamii za Waislamu nchini humo.

  • HRW yakosoa marufuku ya vazi la hijabu nchini India

    HRW yakosoa marufuku ya vazi la hijabu nchini India

    Feb 12, 2022 02:59

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa marufuku ya vazi la hijab inakiuka wajibu wa India chini ya sheria ya kimataifa ya haki za binadamu, ambayo inadhamini haki ya uhuru wa imani ya kidini ya mtu binafsi na uhuru wa kujieleza na kupata elimu bila ubaguzi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS