-
Hofu ya Wazayuni ya kuibuka Intifadha nyingine Palestina
Mar 08, 2024 08:30Utawala wa Kizayuni wa Israel una wasi wasi mkubwa wa kuanzishwa Intifadha (mwamko) nyingine ya Palestina katika hali ambayo hauna nguvu na umeonyesha udhaifu mkubwa mkabala wa operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa na makundi ya mapambano ya ukombozi wa Papalestina.
-
Tokea kuanza Intifadha ya Al-Aqsa hadi leo; kuimarika muqawama wa Palestina na kudhoofika Israeli
Sep 30, 2023 11:22Miaka 23 imepita tokea kuanza Intifadha ya Al-Aqsa. Swali muhimu ni kwamba, je, miaka 23 baada ya Intifadha ya Al-Aqsa, ni matukio gani yameshuhudiwa katika mgogoro wa Palestina na Wazayuni.
-
Katibu Mkuu wa mkutano wa kuiunga mkono Intifadha ya Palestina; Njia pekee ya taifa la Palestina ni kuendeleza muqawama
Jul 13, 2023 07:52Katibu Mkuu wa Mkutano wa kuiunga mkono Intifadha ya Palestina amesema kuwa njia pekee liliyonayo taifa la Palestina ni kuendeleza mapambano hadi ushindi wa mwisho.
-
HAMAS: Njama za Marekani za kuisambaratisha Intifadha zitafeli
Feb 13, 2023 02:35Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu HAMAS amesema njama za Marekani za kutaka kuisambaratisha Intifadha ya Tatu ya Wapalestina dhidi utawala wa Kizayuni wa Israel zitagonga mwamba.
-
Mfalme wa Jordan aonya: Intifadha mpya ya Wapalestina inanukia
Dec 30, 2022 02:35Mfalme wa Jordan ameonya kuhusiana na hatua za utawala haramu za Israel za kushadidisha mivutano na jinai dhidi ya Wapalestina na kueleza kuwa, jinai hizo huenda zikapelekea kuibuka Intifadha mpya ya Wapalestina.
-
Kanali ya Kizayuni: Israel inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina
Nov 30, 2022 10:45Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimesema hali ya usalama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu ni ya 'hatari' na kwamba Tel Aviv inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina.
-
Palestina; miongo miwili baada ya Intifadha ya Pili
Sep 29, 2020 13:13Jumatatu ya jana tarehe 28 Septemba, ilisafidiana na kutimia miaka 20 tangu kulipotokea Intifadha ya Pili inayojulikana kama Intifadha ya al-Aqswa.
-
Mshauri wa Abbas: Chokochoko mpya za Israel zitaibua Intifadha ya 3 ya Palestina
Jul 06, 2020 03:26Mshauri wa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameonya kuwa, Intifadha ya Tatu ya wananchi wa Palestina inanukia na bila shaka itaibuka mara moja iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatekeleza mpango wake wa kulipora na kuliunganisha eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zilizopewa jina la Israel.
-
Intifadha, njia pekee ya kukabiliana na mpango wa kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi
Jun 29, 2020 03:55Mkuu wa Kamati ya Kuunga mkono Mapinduzi ya Wananchi wa Palestina amesema kuwa mapambano ya Intifadha ndio njia pekee ya kukabiliana na mpango wa utawala wa kizayuni wa Israel wa kutaka kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi.
-
Msemaji wa Hamas: Mapambano ndiyo njia pekee ya kuikomboa Palestina
Dec 10, 2019 13:19Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, mapambano ya pande zote na kwa kutumia mbinu na nyezo zote ndiyo chaguo la taifa la Palestina kwa ajili ya kukabiliana na utawala ghasibu wa Israel.