-
Abdollahian: Muqawama wa Wapalestina umewavunja moyo Wazayuni
Nov 19, 2018 04:15Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu yuko katika ncha ya kuanguka, na kwamba muqawama wa Wapalestina umewavunja moyo Wazayuni.
-
Jihadul Islami: Saudia na Imarati zinashirikiana na Marekani kuikandamiza Palestina
Aug 09, 2018 04:25Mwakilishi wa harakati ya Jihad al Islami ya Palestina nchini Iran amesema kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), zinashiriki waziwazi katika 'Mapatano ya Karne' ambayo yameandaliwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kuliangamiza taifa la Palestina
-
Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Palestina imeanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Sham!
May 28, 2018 11:36Palestina ni suala kuu na la kwanza la Ulimwengu wa Kiislamu; na kufanyika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kunatilia mkazo suala hilo muhimu na la kihistoria.
-
Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Marekani mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 27, 2018 02:32Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni siku ya kupazwa duniani sauti ya kudhulumiwa taifa la Palestina na kuchukizwa ulimwengu na utawala katili wa Israel unaoua watoto wadogo, inawadia.
-
Shamkhani: Iran kamwe haitaacha kuwaunga mkono wananchi wa Palestina
Jan 03, 2018 07:39Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa lengo la kutaka kujadiliwa na kufanyika mazungumzo kuhusu Palestina ni kuisahaulisha kadhia ya Palestina na kwamba kuharibiwa ardhi hiyo ni lengo kuu la maghasibu ambao wanafanya njama za kuzikalia kwa mabavu ardhi zote za Palestina.
-
Shakhsia wa kisiasa wa Palestina: Intifadha inaendelea
Dec 27, 2017 03:50Viongozi kadhaa wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi utakapofutwa uamuzi uliotangazwa na rais wa Marekani wa kuitambua Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
UN yalaani kitendo cha Israel kumpiga risasi na kumuua Mpalestina mlemavu
Dec 20, 2017 08:20Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa amesema amestaajabishwa sana na kitendo cha jeshi la Israel kumuua kwa kumpiga risasi mtu mwenye ulemavu aliyekuwa anaelekea msikitini siku ya Ijumaa.
-
Jihad Islami yasema Intifadha ya Palestina inahitaji msaada wa mataifa ya Kiislamu
Dec 20, 2017 02:37Mwakilishi wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina nchini Iran amesema Wapalestina wanahitaji msaada wa mataifa na serikali za Kiarabu na Kiislamu ili kuendeleza harakati ya mwamko au Intifadha dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Sisitizo la kudumishwa mapambano ya Intifadha huko Palestina
Dec 15, 2017 17:18Maelfu ya wananchi wa Palestina jana Alkhamisi walikusanyika katika Medani ya al Katiba katika eneo la Ukanda wa Gaza wakipiga nara na kaulimbiu ya "Mapambano ni Uamuzi Wetu, na Umoja ni Chaguo Letu" na kuadhimisha mwaka wa 30 tangu kuasisiwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS).
-
Israel yaingiwa na kiwewe kuhusu kushadidi Intifadha huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia
Jun 19, 2017 07:06Intifadha au mwamko wa Wapalestina unazidi kuchacha huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia jambo ambalo limewatia kiwewe wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.