-
Kongamano la Kimataifa la Intifadha ya Palestina Tehran, Kikao Kilichokuwa na Ujumbe kwa Dunia
Mar 01, 2017 08:48Kongamano la Sita la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha au mwamko wa watu wa Palestina lilimalizika Februari 22 hapa Tehran kwa sisitizo la udharura wa kuhakikisha kuwa kadhia ya Palestina inabakia kuwa yenye kipaumbele cha kwanza katika Ulimwengu wa Kiislamu na nchi za Kiarabu.
-
Msomi wa Algeria: Ni Iran pekee inayohuisha kadhia ya Palesina duniani
Feb 28, 2017 02:45Msomi na mtafiti wa nchini Algeria sambamba na kupongeza hotuba ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kongamano la kimataifa la kuunga mkono Intifadha ya Palestina hapa mjini Tehran kwa kuitaja kama kadhia ya Palestina kama maudhui kuu ya ulimwengu wa Kiislamu, amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo nchi pekee duniani ambayo imeweza kuhuisha kadhia hiyo.
-
Sayyed Albeity wa Lamu, Kenya: Kuna Matumaini Intifadha ya Palestina Itafaulu
Feb 26, 2017 14:50Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ulimalizika Jumatano hapa Tehran, ambapo kulikuwa wa washiriki zaidi ya 700 kutoka 80.
-
Mbunge wa Matuga, Kenya: Wanaadamu wote waunge mkono uhuru wa Palestina
Feb 26, 2017 14:43Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ulimalizika Jumatano hapa Tehran, ambapo kulikuwa wa washiriki zaidi ya 700 kutoka 80.
-
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aunga mkono Intifadha ya Palestina, alaani udhalimu wa Israel
Feb 26, 2017 12:35Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ulimalizika Jumatano hapa Tehran, ambapo kulikuwa wa washiriki zaidi ya 700 kutoka 80.
-
Hamas: Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa kuangamizwa Israel
Feb 25, 2017 02:39Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, sharti la kuweko amani na uthabiti katika Mashariki ya Kati ni kuangamizwa utawala haramu wa Israel.
-
Tamko la mwisho la Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina
Feb 22, 2017 16:58Tamko la mwisho la Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina uliomalizika leo hapa mjini Tehran limesisitizia udharura wa kulindwa kadhia ya Palestina ambayo ni kipaumbele cha kwanza cha nchi ulimwengu wa Kiislamu na za Kiarabu na ndilo zingatio kuu la fikra za walio wengi duniani.
-
Rouhani: Israel ni utawala pandikizi mzaliwa wa Magharibi
Feb 22, 2017 16:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina ndiyo kadhia muhimu zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na kwamba, utawala wa Kizayuni ni utawala pandikizi, mzaliwa wa Magharibi unaovunja haki za binadamu.
-
Kufanyika kwa mafanikio Mkutano wa Palestina; ni ishara ya kudhoofika siasa za utawala wa Kizayuni katika eneo
Feb 22, 2017 08:08Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya al Wifaq ya Bahrain amesema kuwa kufanyika kwa mafanikio Mkutano wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina katika mji wa Tehran ni fursa kwa ajili ya kuonyesha udhaifu wa Marekani na utawala wa Kizayuni katika siasa zao za kichokozi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Palestina; kadhia ya umoja na kipaumbele cha awali cha Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 22, 2017 08:04Msemaji wa Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesema kuwa ujumbe mkuu wa kufanyika mkutano huo hapa Tehran ni kudhihirisha suala la Palestina kama kadhia ya awali inayouhusu Ulimwengu wa Kiislamu.