-
Dr. Al-Zahar: Lengo la mkutano wa Intifadha wa mjini Tehran ni kuunga mkono muqawama
Feb 21, 2017 04:05Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, lengo la Mkutano wa Intifadha ya Palestina unaoanza leo hapa mjini Tehran ni kuunga mkono muqawama na mapambano na kwamba, nchi nyingine za Kiislamu nazo zinapaswa kuchukua hatua katika njia hiyo.
-
Intifadha; kielelezo kikuu cha kisiasa Palestina
Dec 09, 2016 07:31Katika hali ambayo imepita miaka 29 tangu kulipotokea Intifadha ya Kwanza huko Palestina, harakati hiyo ya wananchi wanamuqawama imeendelea kuhesabiwa kuwa kielekezo kikuu cha kisiasa huko Palestina
-
Wazayuni 40 wameangamizwa na zaidi ya 400 wamejeruhiwa tangu kuanza Intifadha ya Quds
Sep 24, 2016 08:08Duru za Kizayuni zimetangaza kuwa tangu kuanza operesheni za muqawama wa Wapalestina sambamba na Intifadha ya Quds hadi sasa, wazayuni 40 wameuawa na wengine 458 wamejeruhiwa.
-
HAMAS: Intifadha ya Quds itaendelea
Sep 13, 2016 04:15Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuna ulazima wa kuendelezwa Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jihad Islami Palestina kuendeleza mapambano ya kukomboa Quds
Sep 02, 2016 14:57Afisa wa ngazi za juu wa harakati ya kupigania ukombozi Palestina ya Jihad Islami amesisitiza udharura wa kuendelezwa mapambano na mwamko (Intifadha) dhidi ya utawala ghasibu wa Israel ili kukomboa ardhi zote za Palestina hasa Quds Tukufu (Jerusalem).
-
Sisitizo la chama cha Likud la kuuliwa Wapalestina zaidi
Jul 12, 2016 07:29Licha ya jamii ya kimataifa kulalamikia vikali mashinikizo ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina, kundi moja la wabunge wa utawala huo katili limekutana na kuhimiza kuongezwa mashinikizo ya kisiasa, kijeshi na kiuchumi dhidi ya Wapalestina.
-
Familia: Israel inazuia miili ya Wapalestina wanaowaua
Jun 23, 2016 08:03Familia za Wapalestina waliouawa shahidi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano kuutaka utawala wa Tel Aviv kuwapa miili ya wapendwa wao huku wakitaja sera hiyo ya kuzuia miili kuwa 'jinai na mateso kwa walio hai na waliokufa'.
-
Al Zawawi asisitiza kuendelezwa Intifadha ya wananchi wa Palestina
Jun 16, 2016 07:23Balozi wa Palestina nchini Iran amesema kuwa Intifadha ya wananchi wa Palestina itaendelea hadi kukombolewa Quds Tukufu.
-
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina yalaani ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni
May 09, 2016 03:36Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imelaani vikali mpango mpya wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Makundi ya mapambano ya Palestina yataka kushadidishwa Intifadha ya Quds
Apr 21, 2016 03:49Makundi ya mapambano ya Palestina yametoa wito wa kushadidishwa Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.