-
Ban asema Israel inavuruga mpango wa amani
Apr 19, 2016 15:27Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekosoa vikali hatua ya Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Maandamano ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Apr 16, 2016 04:12Wapalestina wa maeneo tofauti ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wamefanya maandamano makubwa ya kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Intifadha ya Quds yamtia kiwewe Netanyahu
Apr 10, 2016 15:12Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel ameshindwa kuficha wasiwasi wake kutokana na Wapalestina kuendeleza Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni
-
Israel imeua watoto 50 Wapalestina tokea Oktoba
Mar 28, 2016 07:04Wanajeshi wa Utawala haramu wa Israel wameua watoto 50 Wapalestina tokea Oktoba mwaka jana, wakati ilipoanza Intifadha au mwamko mpya wa Palestina.
-
Israel yaendeleza ukatili wake, yaua shahidi Wapalestina 2
Mar 24, 2016 15:06Askari wa utawala wa kizayuni wa Israel wameua shahidi Wapestina wawili kwa kuwafyatulia risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wapalestina wengine wawili wauawa shahidi na jeshi la Israel
Mar 17, 2016 14:00Jeshi katili la utawala wa kizayuni wa Israel limeua shahidi vijana wawili wa Kipalestina, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina wengine wawili wauwa shahidi na jeshi la Israel
Mar 17, 2016 13:59Jeshi katili la utawala wa kizayuni wa Israel limeua shahidi vijana wawili wa Kipalestina, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Hamas: Tel Aviv inataka kupotosha watu kuhusu mapambano ya Intifadha
Mar 14, 2016 07:33Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamasi imetangaza kuwa lengo la mashambulizi yaliyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ni kuwafanya walimwengu wasitilie maanani na kuzingatia mapambano ya Intifadha ya Quds Tukufu.
-
Juhudi zisizo na matunda za Israel za kusambaratisha Intifadha ya Quds
Mar 12, 2016 08:22Baada ya juhudi za Israel za kusambaratisha Intifadha ya Quds kushindwa, Kamati ya Usalama ya utawala huo ghasibu sasa imechukua maamuzi mapya yanayolenga kuikandamiza Intifadha hiyo.
-
Wazayuni: Tumeshindwa kuisambaratisha Intifadha ya Quds
Mar 10, 2016 02:47Duru za Wazayuni zinaripoti kwamba, utawala ghasibu wa Israel umeshindwa kukabiliana na Intifadha ya Quds inayoendeshwa na wanamapambano wa Kipalestina.