• Iran na Saudi Arabia kuimarisha uhusiano katika sekta ya teknolojia

    Iran na Saudi Arabia kuimarisha uhusiano katika sekta ya teknolojia

    Dec 27, 2024 23:14

    Rais wa Shirika la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano la Iran na Rais wa Kamati ya Mawasiliano, Anga za Mbali na Teknolojia (CST) ya Saudi Arabia katika mkutano wa pamoja huko Riyadh wamesisitiza kuimarisha ushirikiano na kubadilishana uzoefu katika nyanja mbalimbali za teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA)

  • Russia yajibu matamshi ya Grossi kuhusu Iran: IAEA inapaswa kutoegemea upande wowote

    Russia yajibu matamshi ya Grossi kuhusu Iran: IAEA inapaswa kutoegemea upande wowote

    Dec 26, 2024 06:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, amejibu matamshi ya Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), akisisitiza kwamba wakala huo haupaswi kusalimu amri kwa fikira potovu za nchi za Magharibi kuhusiana na suala la Iran.

  • Barua ya Iran kwa Baraza la Usalama baada ya Israel kukiri ilihusika na mauaji ya Ismail Haniyeh

    Barua ya Iran kwa Baraza la Usalama baada ya Israel kukiri ilihusika na mauaji ya Ismail Haniyeh

    Dec 25, 2024 08:37

    Amir Saeid Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa jana Jumanne alimwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisisitiza kwamba, Israel imebeba dhima ya kuhusika na mauaji ya Shahidi Ismail Haniyeh, mkuu zamani wa Idara ya Siasa ya harakati ya Hamas.

  • Iran: Tuko tayari kufungua tena ubalozi Syria, tunafanya mazungumzo na serikali ya Damascus

    Iran: Tuko tayari kufungua tena ubalozi Syria, tunafanya mazungumzo na serikali ya Damascus

    Dec 24, 2024 09:22

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza utayarifu wa Tehran kufungua tena ubalozi wake mjini Damascus, huku kukiwa na changamoto zinazoikabili Syria wiki mbili baada ya wanamgambo wa Hayat Tahrir al-Sham (HTS) kushika hatamu za nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Iran: Hatuna mawasiliano ya moja kwa moja na mrengo tawala wa sasa huko Syria

    Iran: Hatuna mawasiliano ya moja kwa moja na mrengo tawala wa sasa huko Syria

    Dec 23, 2024 23:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa tulikuwa na mawasiliano na mrengo wa upinzani wa Syria tangu kitambo nyuma na tulisema kwamba Iran iliingia Syria kwa ajili ya kupambana na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) na kuzuia kuenea ugaidi katika nchi za eneo hili, lakini hatuna mawasiliano ya wa moja kwa moja na mrengo uliotwaa madarakan nchini Syria hivi sasa.

  • Iran na Russia zahimiza kuimarishwa uhusiano wa pande mbili

    Iran na Russia zahimiza kuimarishwa uhusiano wa pande mbili

    Dec 23, 2024 22:59

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, serikali yake imedhamiria kikwelikweli kuimarisha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Russia na kukamilishwa haraka njia ya Ukanda wa Kimataifa wa Usafiri wa Kaskazini-Kusini (INSTC).

  • Kamanda Salami: Hakuna nguvu juu ya ardhi, bahari au angani inayoweza kuishinda IRGC

    Kamanda Salami: Hakuna nguvu juu ya ardhi, bahari au angani inayoweza kuishinda IRGC

    Dec 23, 2024 10:48

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesisitiza kuwa hakuna nguvu yoyote duniani inayoweza kushinda nguvu za jeshi la IRGC kwa upande wa ardhi, baharini na angani na kwamba uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umevuka mipaka.

  • Mapendekezo matano ya Iran katika mkutano wa D8

    Mapendekezo matano ya Iran katika mkutano wa D8

    Dec 21, 2024 09:15

    Mapendekezo matano yaliyototolewa na Iran kuhusu nafasi na wajibu wa kundi la "D8" kuhusu Gaza yanaonyesha kuwa, sambamba na matukio ya hivi sasa ya Syria, kuna ulazima wa kuwepo umoja na mshikamano zaidi na zaidi wa nchi za Kiislamu katika kipindi cha sasa, kuliko wakati mwingine wowote, hususan kuhusu masuala ya Palestina.

  • Marais wa Iran na Misri waonesha matumaini ya kustawi uhusiano wa pande mbili

    Marais wa Iran na Misri waonesha matumaini ya kustawi uhusiano wa pande mbili

    Dec 20, 2024 10:04

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri wamefanya mazungumzo ya ana kwa ana mjini Cairo, Misri na wamepitia hatua zote chanya za kuweza kustawisha uhusiano kati ya nchi zao. Wameelezea matumaini yao kuwa hatua chanya zitaendelea hadi uhusiano wa nchi mbili utakaporejeshwa kikamilifu.

  • Pezeshkian amwambia Erdogan: Unyakuzi wa ardhi ya Syria haukubaliki kwa njia yoyote

    Pezeshkian amwambia Erdogan: Unyakuzi wa ardhi ya Syria haukubaliki kwa njia yoyote

    Dec 20, 2024 04:29

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kuhifadhiwa ardhi yote ya Syria. Rais Masoud Pezeshkian ameyasema hayo katika mazungumzo yake na Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki pambizoni mwa mkutano wa viongozi wa nchi wanachama katika D-8 uliofanyika jana mjini Cairo huko Misri.