Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Maafa ya Palestina hayataisha mpaka Marekani na Ulaya zitapoacha kuiunga mkono Israel

    Iran: Maafa ya Palestina hayataisha mpaka Marekani na Ulaya zitapoacha kuiunga mkono Israel

    Jun 08, 2024 00:38

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Kusimamishwa kikamilifu na kivitendo uungaji mkono wa Marekani na Ulaya kwa utawala wa kibaguzi wa Kizayuni katika mashambulizi yake dhidi ya Ukanda wa Ghaza ndiko kunakoweza kukomesha maafa machungu na ukatili wa kinyama na unaofanywa bila kujali dhidi ya watu huko Palestina.

  • Iran yazitaka nchi za Waislamu kuunganisha nguvu zao kukabiliana na Israel

    Iran yazitaka nchi za Waislamu kuunganisha nguvu zao kukabiliana na Israel

    Jun 07, 2024 02:50

    Katika mazungumzo ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitizia ulazima wa kuunganishwa nguvu za nchi za Waislamu katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni.

  • Kituo kikubwa zaidi cha anga za mbali Asia Magharibi kuanza kazi 2025 Iran

    Kituo kikubwa zaidi cha anga za mbali Asia Magharibi kuanza kazi 2025 Iran

    Jun 06, 2024 23:42

    Ujenzi wa kituo kikubwa zaidi cha anga za mbali katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) unaendelea vizuri hapa nchini Iran, na kinatazimwa kuanza kazi zake mwaka ujao.

  • Iran yajibu ripoti mpya ya IAEA; Tehran italinda haki zake kwa nguvu zote

    Iran yajibu ripoti mpya ya IAEA; Tehran italinda haki zake kwa nguvu zote

    Jun 06, 2024 06:25

    Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu kamwe haitofumbia macho haki zake za nyuklia na itasimama imara kulinda na kutetea haki zake hizo.

  • Iran, China na Russia zazitaka nchi za Magharibi zianze tena kutekeleza makubaliano ya nyuklia

    Iran, China na Russia zazitaka nchi za Magharibi zianze tena kutekeleza makubaliano ya nyuklia

    Jun 05, 2024 03:58

    Iran, China na Russia zimesisitiza kuwa, vifungu vya mkataba wa nyuklia wa JCPOA vingali vina itibari na kuzishauri nchi za Magharibi ambazo zimekwamisha utekelezaji wa mapatano hayo kwa kutochukua hatua na kukhalifu kutekeleza ahadi na majukumu yao, zionyeshe utashi wa kisiasa na kuchukua hatua zinazohitajika ili kuanza kutekeleza tena makubaliano hayo.

  • Zohreh Elahian, mwanamke wa kwanza kujiandikisha kuwania urais Iran 2024

    Zohreh Elahian, mwanamke wa kwanza kujiandikisha kuwania urais Iran 2024

    Jun 02, 2024 01:41

    Mbunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Zohreh Elahian amekuwa mwanamke wa kwanza kujiandikisha kugombea uchaguzi wa mapema wa duru ya 14 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu, kufuatia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi katika ajali ya helikopta.

  • Persepolis yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Iran

    Persepolis yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Iran

    Jun 02, 2024 06:59

    Klabu ya Persepolis ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka hapa nchini baada ya kuichachafya klabu ya Mes Rafsanjan Jumamosi. Esteqlal imemaliza ya pili baada ya kuisasambua Peykan mabao 2-0.

  • Iran na Saudia zasisitiza kupanua na kustawisha uhusiano wao

    Iran na Saudia zasisitiza kupanua na kustawisha uhusiano wao

    May 31, 2024 22:51

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia wamesisitiza kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika mazungumzo waliyofanya kwa njia ya simu.

  • Kaimu Rais wa Iran asisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman

    Kaimu Rais wa Iran asisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman

    May 28, 2024 00:54

    Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja uhusiano wa Iran na Oman kuwa wa kihistoria na wa kidugu na kusema: Iwapo uwezo uliopo utatumika vizuri, maingiliano ya kiuchumi na kibiashara kati ya Iran na Oman yataongezeka hadi mara kadhaa ya kiwango cha sasa.

  • Msemaji: Mazungumzo ya kuondoa vikwazo dhidi ya Iran yanaendelea

    Msemaji: Mazungumzo ya kuondoa vikwazo dhidi ya Iran yanaendelea

    May 27, 2024 23:18

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa mazungumzo ya kuondoa vikwazo dhidi ya Tehran yanaendelea.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS