-
Spika ya Majlisi ya Iran: Utamaduni wa kufa shahidi unawatia hofu maadui
Feb 01, 2024 23:12Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameeleza kuwa utamaduni wa kufa shahidi unawatia hofu maadui.
-
Iran yaitaka Marekani iache kutumia lugha ya vitisho dhidi yake
Feb 01, 2024 07:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameitaka Marekani iache kutumia lugha ya vitisho dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, vitisho vyovyote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu vitakabiliwa na jibu madhubuti na la haraka.
-
Maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaanza rasmi nchini Iran
Feb 01, 2024 03:45Alkhamisi ya leo ya tarehe Mosi Februari 2024 inasadifiana na tarehe 12 Bahman 1402 kwa kalenda ya Iran ya Hijria Shamsia. Tarehe kama hii kila mwaka huwa ndio mwanzo wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran.
-
Mipaka ya Iran na Pakistan kubadilishwa kuwa ya kiuchumi na kiurafiki
Jan 31, 2024 23:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, juhudi zinafanyika kuhakikisha kwamba, mipaka ya nchi yake na Pakistan inabadilika na kuwa ya kiuchumi, amani na urafiki.
-
Iran: US inajua ni 'suluhisho la kisiasa' tu ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel Gaza
Jan 30, 2024 23:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Marekani inajua vyema kwamba ni suluhisho la kisiasa pekee ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kumaliza mgogoro unaoikumba Asia Magharibi.
-
Nchi tatu za Ulaya zapinga ustawi wa Iran katika sekta ya anga za mbali
Jan 28, 2024 23:31Katika taarifa ya pamoja, Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, ambazo kidiplomasia zinajulikana kama Troika ya Ulaya, zimelaani hatua ya Iran wiki iliyopita ya kurusha satalaiti ya Soraya au Thurayya katika mzunguko wa kilomita 750 kutoka ardhini kwa kutumia roketi ya "Qaim 100".
-
Iran yatuma angani satalaiti tatu kwa mafanikio
Jan 28, 2024 10:01Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutuma angani satalaiti tatu kwa mpigo zilizotengenezwa na wataalamu wa hapa nchini.
-
Kan'ani: Mashirika ya 'haki za binadamu' ya Magharibi hayana tena itibari
Jan 28, 2024 09:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mashirika yanayojidai kuwa ya kutetea haki za binadamu katika nchi za Magharibi yamepoteza itibari na uhalali wao kwa kufumbia macho jinai za kutisha zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Tehran: Iran na Pakistan hazitaruhusu maadui waharibu uhusiano wao wa kindugu
Jan 28, 2024 04:24Kufuatia shambulio lililowalenga raia wa Pakistan ndani ya Iran, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Tehran na Islamabad hazitavumilia chokochoko za kuharibu uhusiano wa nchi hizo mbili.
-
Kukuza uhusiano na nchi za Afrika, moja ya mihimili ya sera za kigeni za Iran
Jan 28, 2024 01:05Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja msingi wa uhusiano wa Tehran na nchi za Kiafrika kuwa ni mungamano wa kiroho baina ya mataifa hayo na kwamba uhusiano huo ni moja ya mihimili mikuu ya siasa za nje za Iran.