-
Rais Putin: Uhusiano wa Russia na Iran ni 'mzuri mno'
Oct 05, 2023 09:40Rais Vladimir Putin wa Russia amesema uhusiano wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mzuri na wa kuridhisha.
-
Tehran yalaani kauli 'ya kuingilia kati' ya Uingereza kuhusu satalaiti ya Nour 3
Oct 05, 2023 04:33Iran imelaani vikali kauli ya "kiuingiliaji kati" ya serikali ya Uingereza kuhusu kurusha angani satalaiti mpya ya Nour 3 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kitendo cha al-Ittihad mjini Isfahan; kuchanganywa mechi ya mpira wa miguu na masuala ya kisiasa
Oct 04, 2023 02:41Katika kitendo kisicho cha uanamichezo siku ya Jumatatu, timu ya mpira wa miguu ya Saudi Arabia iliamua kutoingia kwenye uwanja wa Naqshe Jahan kwa ajili ya kuchuana na timu ya Sepahan ya mjini Isfahan.
-
Jeshi la Iran lafanya 'Luteka ya Pamoja ya Droni 1402'
Oct 03, 2023 23:39Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza mazoezi makubwa ya pamoja ya kijeshi ya droni (ndege zisizo na rubani) katika eneo la kistratajia la Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman.
-
Mkuu wa AEOI: Iran haina nia ya kuunda silaha za nyuklia
Oct 03, 2023 04:08Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema: Iran haina nia ya kuunda silaha za nyuklia na inachofuatilia siku zote ni nishati ya nyuklia kwa matumizi ya amani.
-
Uturuki bado inatafuta fursa kwa kuendelea kukalia ardhi ya Syria
Oct 02, 2023 07:35Ankara imetangaza kwa mara nyingine kuwa serikali ya Uturuki itaanzisha tena mazungumzo yake na Iran na Russia kwa lengo la kuboresha uhusiano na Syria.
-
Shahriari: Uhusiano wa Iran na Saudia unaimarisha umma wa Kiislamu
Oct 02, 2023 03:12Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kurejeshwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kumesaidia kuboreka umoja na matumaini katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Iran kujiunga na mfumo wa BRICS PAY ili kukwepa vikwazo vya Marekani
Oct 01, 2023 03:52Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Qalibaf amesema Iran itajiunga na BRICS PAY, mfumo wa kibenki wa kielektroniki unaotumiwa na muungano wa BRICS wa mataifa yanayoinukia kiuchumi, ili kukwepa vizuizi vya kibenki vilivyosababishwa na vikwazo vya Marekani.
-
Rais wa Iran alaani mashambulizi pacha ya kigaidi Pakistan
Sep 30, 2023 01:16Rais Ebrahim Raisi wa Iran amelaani mashambulizi mawili ya kigaidi yaliuoua makumi ya watu katika jimbo la kusini magharibi la Balochistan nchini Pakistan.
-
Ukumbusho na indhari ya Iran kwa UN kuhusu utambulisho na matokeo ya vitisho vya utawala wa Kizayuni
Sep 29, 2023 00:29Amir Saeid Iravani Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amewaandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu matamshi ya vitisho ya karibuni ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.