-
Idadi ya watalii wanaokuja Iran yaongezeka kwa asilimia 38
Sep 26, 2023 09:15Naibu Waziri wa Turathi za Kitamaduni, Utalii na Sanaa wa Iran amesema watalii wa kigeni zaidi ya milioni 3.3 waliitembelea Jamhuri ya Kiislamu katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa Kiirani 1402 (Machi 21-Septemba 22).
-
Raisi: Iran haina mpango wa kumiliki silaha za nyuklia
Sep 24, 2023 23:42Rais wa Iran amepuuzilia mbali madai ya madola ya Magharibi kwamba Jamhuri ya Kiislamu inataka kuunda silaha za nyuklia.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Russia na Uturuki wakutana New York kujadili mgogoro wa Syria
Sep 23, 2023 23:45Sambamba na juhudi zinazoendelea za kidiplomasia za kuushughulikia mgogoro wa Syria, mawaziri wa mambo ya nje wa Iran, Russia na Uturuki wamefanya mkutano wa pande tatu katika muktadha wa Mazungumzo ya Astana kwa ajili ya kujadili njia za kurejesha amani na utulivu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Guterres apongeza azma ya Iran kutuma vikosi vyake kulinda amani duniani
Sep 23, 2023 04:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kwa mikono miwili pendekezo la Rais Ebrahim Raisi wa Iran la kuwa tayari wanajeshi wa Jamhuri ya Kiislamu kujiunga na vikosi vya kulinda amani kote duniani.
-
OIC: Kuimarika uhusiano wa Iran na nchi za eneo ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu
Sep 23, 2023 04:12Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC amesema kuimarika uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za eneo la Asia Magharibi kutanufaisha ulimwengu wa Kiislamu.
-
Iran na Djibouti zakubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia
Sep 23, 2023 00:38Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Djibouti wameafikiana juu ya kuhuisha uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Asmara, kwa maslahi ya mataifa haya mawili.
-
Waziri wa Ulinzi wa Russia: Uhusiano na Iran 'unafikia kiwango kipya' licha ya vikwazo
Sep 20, 2023 23:24Waziri wa Ulinzi wa Russia, Jenerali Sergei Shoigu anasema uhusiano wa nchi hiyo na Iran "unafikia kiwango kipya" kinyume na kampeni ya mashinikizo ya Magharibi inayolenga nchi zote mbili.
-
Raisi: Mradi wa kuufanya ulimwengu uwe wa Kimarekani umefeli
Sep 19, 2023 23:51Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema mpango wa Marekani wa kuitwisha dunia sera na misimamo yake umefeli na kugonga mwamba.
-
Mabadilishano ya wafungwa na kuendelea misimamo ya Marekani dhidi ya Iran
Sep 19, 2023 23:07Kufuatia mafanikio ya kubadilishana wafungwa kati ya Iran na Marekani Jumatatu ya juzi, raia watano wa Iran ambao walifunguliwa mashtaka kinyume cha sheria na vyombo vya mahakama vya Marekani kutokana na shughuli za kawaida za kibiashara waliachiliwa huru.
-
UNESCO yaziweka 'Caravanserai' za kihistoria za Iran kwenye orodha yake ya turathi za dunia
Sep 19, 2023 09:47Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeongeza Caravanserai' 54 za kihistoria za Iran katika orodha yake ya maeneo ya turathi za dunia.