-
Pezeshkian: Iran imesimama kidete katika kujihami, kulinda heshima ya taifa
Mar 06, 2026 10:28Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitasita kuendelea kujihami na kujilinda mkabala wa mashambulizi ya kichokozi ya maadui wa taifa hili.
-
Afisa wa zamani wa Pentagon: Hatukudhani makombora ya Iran yatakuwa ya kisasa kiasi hiki
Mar 06, 2026 09:40Mshauri wa zamani wa Wizara ya Vita ya Marekani (Pentagon) amekiri kuhusu uwezo mkubwa wa makombora ya Iran na udhaifu wa mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Khorramshahr-4 yaingia uwanjani katika operesheni Ahadi ya Kweli 4, yatwanga ngome za Israel
Mar 05, 2026 15:02Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) imetangaza kuwa makombora ya Khorramshahr 4, (Khaybar), ya kikosi cha Anga cha jeshi hilo yameanza kutumika kwa kushambulia katikati ya mji wa Tel Aviv, Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion na kambi ya jeshi la anga la Israel katika uwanja huo.
-
Niger yaguswa na mauaji ya kigaidi ya Kiongozi Muadhamu wa Iran
Mar 05, 2026 10:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Niger amelinyooshea mkono wa pole taifa la Iran kufuatia kuuawa shahidi Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Kamandi ya Khatam al-Anbia: Wanajeshi 100 wa Marekani wameuawa katika shambulizi la Iran huko Dubai
Mar 04, 2026 12:52Msemaji wa Kamandi ya Majeshi ya Iran ya “Khatam al-Anbia” ametoa taarifa akisema kuwa wanajeshi 100 wa Marekani wameuawa katika shambulizi la Iran huko Dubai.
-
Military Watch: Fattah 2 haiwezi kuzuiwa na makombora ya Marekani
Mar 04, 2026 11:59Jarida maarufu la Military Watch limefichua kuwa ni karibu muhali kuweza kuzuia kombora jipya la hypersonic la Iran, Fattah 2, kutokana na kasi yake ya kustaajabisha na uwezo wake mkubwa wa manuva.
-
IRGC: Hakuna jinai na mauaji ya kidhulma yanayofanywa na US na wazayuni yatayopita bila ya jibu
Mar 03, 2026 15:49Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesisitiza kuwa, wahalifu wa Kimarekani na Kizayuni wajue kwamba hakuna hata moja kati ya jinai na mauaji ya kidhulma wanayofanya yatakayopita bila ya jibu.
-
UN yataka ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu wasichana wadogo 167 waliouliwa na US/Israel
Mar 03, 2026 15:06Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametaka ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu shambulio lililolenga skuli ya msingi ya wasichana katika mji wa Minab kusini mwa Iran.
-
IRGC: Majibu yajayo yatakuwa makali zaidi, Tel Aviv yateketea kwa makombora
Mar 03, 2026 14:06Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, kiwango cha nguvu za makombora kitaongezwa na mwendelezo wa mashambulio dhidi ya maadui wavamizi utazidi kurefushwa.
-
China yaihutubu Magharibi: Uzimeni moto wa vita usio na tija mliowasha dhidi ya Iran
Mar 03, 2026 12:54Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesisitizia ulazima wa faili la nyuklia la Iran kuondolewa kwenye wingu la vita.