Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Biden akariri madai yasiyo na msingi kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran

    Biden akariri madai yasiyo na msingi kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran

    Apr 29, 2021 07:39

    Rais Joe Biden wa Marekani amekariri tena madai yake yasiyo na msingi kuhusiana na miradi ya kuzalisha niishati ya nyuklia nchini Iran.

  • Qatar yakaribisha kwa mikono miwili msimamo wa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia kuhusu Iran

    Qatar yakaribisha kwa mikono miwili msimamo wa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia kuhusu Iran

    Apr 29, 2021 03:36

    Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amekaribisha kwa mikono miwili msimamo mpya wa Mohammad bin Salman mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia wa kuonyesha hamu iliyonayo nchi yake ya kuanzisha tena uhusiano na Iran.

  • Mazungumzo ya Vienna, maendeleo na changamoto zake

    Mazungumzo ya Vienna, maendeleo na changamoto zake

    Apr 28, 2021 05:35

    Katika fremu ya utekelezaji wa hatua za kistratijia kwa ajili ya kufuta vikwazo vya kidhalimu na kulinda maslahi ya taifa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilichukua hatua za kulipiza kisasi ikijibu hatua ya Marekani na kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile hatua ya nchi za Ulaya ya kutotekeleza majukumu yao kwa mujibu wa makubaliano hayo.

  • Bin Salman aonyesha hamu iliyonayo Saudia ya kuanzisha tena uhusiano na Iran

    Bin Salman aonyesha hamu iliyonayo Saudia ya kuanzisha tena uhusiano na Iran

    Apr 28, 2021 03:27

    Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia amesema Iran ni nchi jirani; na Riyadh ina matumaini kwamba itaweza kuwa na uhusiano mzuri na Tehran.

  • Rais Rouhani asisitiza haja ya kuimarishwa uhusiano wa Iran na Afrika Kusini

    Rais Rouhani asisitiza haja ya kuimarishwa uhusiano wa Iran na Afrika Kusini

    Apr 27, 2021 08:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo suala la kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa taifa hili na Afrika Kusini katika nyuga anuai.

  • Iran yaweka rekodi mpya ya vifo vya Corona, kirusi cha Afrika Kusini charipotiwa nchini

    Iran yaweka rekodi mpya ya vifo vya Corona, kirusi cha Afrika Kusini charipotiwa nchini

    Apr 27, 2021 08:35

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeweka rekodi mpya ya vifo vya Covid-19 baada ya watu 462 kufariki dunia kwa ugonjwa huo hapa nchini katika kipindi cha saa 24 zilizopita.

  • Namaki: Iran imepata moja ya chanjo bora zaidi za corona duniani

    Namaki: Iran imepata moja ya chanjo bora zaidi za corona duniani

    Apr 26, 2021 06:29

    Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran hivi sasa imeweza kupata moja kati ya chanjo bora na yenye uwezo zaidi ya corona au COVID-19 duniani. Amesema chanjo hiyo imetengenezwa katika Taasisi ya Pasteur ya Iran.

  • Iran yalaani hujuma za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Quds tukufu

    Iran yalaani hujuma za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Quds tukufu

    Apr 25, 2021 01:28

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali uvamizi na chokochoko mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • Marekani yaibua shaka kuhusu kufungamana kwake na JCPOA na kuondoa vikwazo

    Marekani yaibua shaka kuhusu kufungamana kwake na JCPOA na kuondoa vikwazo

    Apr 24, 2021 06:13

    Afisa mmoja wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani alisema Alkhamisi kwamba hakuna dhamani ya kimaandishi itakayotolewa na serikali hiyo kuthibitisha kwamba haitajiondoa tena katika mapatano ya nyukilia na Iran na madola mengine makuu ya dunia, mashuhuri kama JCPOA.

  • Haaretz: Chokochoko za Netanyahu dhidi ya Iran ni sawa na kucheza na moto

    Haaretz: Chokochoko za Netanyahu dhidi ya Iran ni sawa na kucheza na moto

    Apr 23, 2021 07:30

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limemtahadharisha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel likieleza kuwa, chokochoko za Benjamin Netanyahu dhidi ya Iran ni sawa na kucheza na moto na kwamba zinaweza kuwa na matokeo mabaya kwa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS