Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mwanachuo wa kike wa Iran atunukiwa tuzo katika Shindano la Ubinifu Afrika

    Mwanachuo wa kike wa Iran atunukiwa tuzo katika Shindano la Ubinifu Afrika

    Apr 22, 2021 22:01

    Mwanafunzi wa kike wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametunukiwa medali mbili tofauti katika Shindano la Ubunifu Afrika la mwaka huu 2021.

  • Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Iran na Saudi Arabia; sababu na umuhimu wake

    Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Iran na Saudi Arabia; sababu na umuhimu wake

    Apr 22, 2021 05:32

    Duru za habari zimeripoti kuwa, katika siku za karibuni yamefanyika mazungumzo ya ana kwa ana baina ya Iran na Saudi Arabia katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad kwa upatanishi wa serikali ya nchi hiyo.

  • Rouhani: Taifa la Iran linajivunia vikosi vyake vya ulinzi

    Rouhani: Taifa la Iran linajivunia vikosi vyake vya ulinzi

    Apr 21, 2021 23:28

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Artesh) na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ni vikosi vya ulinzi ambavyo daima vimekuwa katika medani. Ameongeza kuwa, taifa la Iran linajivunia jitihada na kujitolea muhanga kwa vikosi hivyo vya ulinzi katika kipindi cha miaka 42 iliyopita.

  • Marekani yakiri kuhusu nguvu ya Iran ya ndege zake zisizo na rubani (droni)

    Marekani yakiri kuhusu nguvu ya Iran ya ndege zake zisizo na rubani (droni)

    Apr 21, 2021 22:22

    Jenerali Kenneth McKenzie, Kamanda wa Kamandi Kuu ya askari wa kigaidi wa Marekani CENTCOM, amekiri kwamba nguvu ya droni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepunguza na kudhoofisha pakubwa uwezo wa anga wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).

  • Iran haitaruhusu mazungumzo ya Vienna kuhusu JCPOA yawe marefu kupita kiasi

    Iran haitaruhusu mazungumzo ya Vienna kuhusu JCPOA yawe marefu kupita kiasi

    Apr 21, 2021 03:02

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema Jamhuri ya Kiislamu haitamruhusu yeyote ayageuze mazungumzo ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanayofanyika huko Vienna, mji mkuu wa Austria kuwa marefu kupita kiasi na yasiyo na kikomo.

  • Mbunge wa Bunge la Ulaya: Tofauti na US, Iran iliisaidia Iraq kupambana na ISIS

    Mbunge wa Bunge la Ulaya: Tofauti na US, Iran iliisaidia Iraq kupambana na ISIS

    Apr 21, 2021 02:59

    Mbunge wa kujitegemea wa Bunge la Ulaya (MEP) amesema kuibuka kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) nchini Iraq ni matokeo ya Marekani kuivamia nchi hiyo ya Kiarabu mwaka 2003; na kwamba kinyume na Marekani, Iran iliinyooshea Baghdad mkono wa msaada na uungaji mkono katika vita dhidi ya genge hilo la kitakfiri.

  • Rouhani: Taifa la Zimbabwe litavishinda vikwazo vya Marekani

    Rouhani: Taifa la Zimbabwe litavishinda vikwazo vya Marekani

    Apr 18, 2021 22:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi mwenzake wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa kwa mnasaba wa Siku ya Uhuru wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, iliyoadhimishwa jana Jumapili.

  • Iran: Kurutubisha urani kwa 60% ni jibu kwa njama za maadui

    Iran: Kurutubisha urani kwa 60% ni jibu kwa njama za maadui

    Apr 18, 2021 22:24

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema urutubishaji wa madini ya urani kwa kiwango cha asilimia 60 hapa nchini ni jibu kwa njama na chokochoko za maadui wa taifa hili.

  • Rais Hassan Rouhani asisitiza kupanuliwa ushirikiano wa Iran na Serbia

    Rais Hassan Rouhani asisitiza kupanuliwa ushirikiano wa Iran na Serbia

    Apr 18, 2021 07:50

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kupanuliwa ushirikiano kati ya taifa hili na Serbia.

  • Watu 405 waripotiwa kufariki duniani nchini Iran kwa Covid-19

    Watu 405 waripotiwa kufariki duniani nchini Iran kwa Covid-19

    Apr 18, 2021 07:46

    Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, watu 405 wamefariki dunia kwa Covid-19 nchini Iran katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita na kuifanya idadi ya watu walioaga dunia hadi sasa kwa virusi hivyo hapa nchini kufikia 66,732.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS