-
Rouhani: Takwimu na vielezo vikuu vya uchumi zinaonyesha ushindi katika vita vya kiuchumi
Mar 14, 2021 23:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, takwimu na vielezo vikuu vya uchumi zinaonyesha kupatikana ushindi katika vita vya kiuchumi.
-
National Interest: Iran ina uwezo wa kulisababishia hasara kubwa jeshi la Marekani
Mar 14, 2021 23:30Tovuti ya habari ya nchini Marekani ya National Interes imeashiria uwezo wa kiulinzi wa Iran na nafasi yake ya kijiografia na kuripoti kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo wa kulisababishia jeshi la Marekani hasara kubwa iwapo kutajiri shambulio lolote la nchi ajinabi dhidi yake.
-
Mej. Salami: Taifa la Iran limepata ushindi katika vita vya kiuchumi
Mar 14, 2021 07:41Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuwa katika vita vya kiuchumi adui ameshindwa na taifa la Iran limepata ushindi.
-
Rouhani: Mpango wa kufikisha maji ya Ghuba ya Uajami hadi mashariki mwa Iran ni mradi adhimu
Mar 14, 2021 07:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mpango wa kuyahamisha maji ya Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman na kuyapeleka hadi katika maeneo ya kati na mashariki mwa Iran ni mradi adhimu na wa kihistoria wenye lengo la kutela mlingano katika ustawi wa nchi.
-
Iran kuwaanika wahusika wa shambulio dhidi ya meli yake ya mizigo
Mar 14, 2021 04:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inafuatilia suala la kuwatambua watu waliohusika na shambulio la kigaidi dhidi ya meli ya mafuta ya nchi hii katika maji ya kimataifa na karibuni hivi itawaanika.
-
Kuasisiwa muungano mpya wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na siasa na hatua za upande mmoja
Mar 13, 2021 07:56Hatua na misimamo ya upande mmoja na kupuuzwa taasisi za kimataifa khususan Umoja wa Mataifa katika kipindi cha utawala wa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump vimepelekea kudhoofika umoja huo na hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Brigedia Jenerali Qaani: Sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika
Mar 12, 2021 08:33Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika.
-
Viongozi wa Sudan, Misri wataraji kufikia mapatano na Ethiopia kuhusu bwawa la nchi hiyo
Mar 12, 2021 04:33Rais Abdel-Fattah al-Sisi wa Misri amefanya mazungumzo na waziri mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok mjini Cairo, na kukubaliana kuimarisha ushirikiano kuhusu mgogoro wa bwawa kubwa la Ethiopia linalojulikana kama Grand Renaissance Dam (GERD) katika Mto Nile.
-
Taarifa dhidi ya Iran katika Baraza la Haki za Binadamu; kutumiwa vibaya taasisi ya kimataifa
Mar 11, 2021 23:14Kwa muda wa zaidi ya miaka 10 sasa kile kinachotajwa kuwa ni 'mazungumzo jumuishi' kimebadilika na kuwa jukwaa la kueneza madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran katika fremu ya haki za binadamu. Jukwaa hili na mielekeo yake yote ya upande mmoja lina malengo ambayo tayari yameainishwa na hayahusiani hata kidogo na huduma kwa haki za binadamu.
-
Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba
Mar 11, 2021 23:12Shehena ya kwanza ya makumi ya maelfu ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka India iliwasili hapa nchini Iran jana Alkhamisi.