Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran haishughulishwi na mienendo miovu ya Trump katika siku zake hizi za mwisho

    Iran haishughulishwi na mienendo miovu ya Trump katika siku zake hizi za mwisho

    Jan 10, 2021 04:51

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu haibabaishwi wala haishughulishwi na mienendo miovu na ghalati ya Rais Donald Trump wa Marekani katika siku zake hizi za mwisho madarakani.

  • Yemen: Uhasama wa Magharibi kwa Iran umetokana na Tehran kuwaunga mkono Wapalestina

    Yemen: Uhasama wa Magharibi kwa Iran umetokana na Tehran kuwaunga mkono Wapalestina

    Jan 08, 2021 23:11

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa wa Yemen amekosoa vikali njama za kutaka kuundwa eti muungano dhidi ya Iran ikiwa ni sehemu ya mradi wa pamoja wa Waarabu, Israel na Marekani na kusisitiza kuwa, jitihada za namna hiyo zikasudia kuzuia uungaji mkono usio na kifani wa Tehran na kwa kadhia ya Palestina na Wapalestina.

  • Iran Yazindua kituo kikubwa cha chini ya ardhi cha makombora  Ghuba ya Uajemi + VIDEO

    Iran Yazindua kituo kikubwa cha chini ya ardhi cha makombora Ghuba ya Uajemi + VIDEO

    Jan 08, 2021 08:28

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limezindua kituo kikubwa na cha kistratijia cha makombora chini ya ardhi katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Qatar: Mapatano na Saudia hayabadilishi uhusiano wetu na Iran

    Qatar: Mapatano na Saudia hayabadilishi uhusiano wetu na Iran

    Jan 07, 2021 23:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema mapatano ya nchi yake na Saudia Arabia pamoja na waitifaki wake hayatabadilisha uhusiano mzuri ulioko baina ya Qatar na nchi zingine ikiwemo Iran.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ushahidi unaonesha kuwa Israel ilimuua shahidi Fakhrizadeh

    Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ushahidi unaonesha kuwa Israel ilimuua shahidi Fakhrizadeh

    Jan 06, 2021 12:27

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuna ushahidi wa kutosha na wenye mashiko unaoonesha kuwa utawala haramu wa Israel ulihusika na mauaji ya kigaidi dhidi ya mwanasayansi bingwa wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu, Mohsen Fakhrizadeh.

  • Iran yafanya mazoezi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani

    Iran yafanya mazoezi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani

    Jan 06, 2021 04:43

    Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran linafanya mazoezi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani au drone.

  • Iran kuzalisha kilo 9 za urani iliyorutubishwa kwa 20% kwa mwezi

    Iran kuzalisha kilo 9 za urani iliyorutubishwa kwa 20% kwa mwezi

    Jan 06, 2021 01:12

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) Ali Akbar Salehi amesema kuanzia sasa Jamhuri ya Kiislamu itakuwa inazalisha kilo tisa za urani iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 20 kila mwezi.

  • Rais Saleh: Jenerali Suleimani alisimama bega kwa bega na taifa la Iraq

    Rais Saleh: Jenerali Suleimani alisimama bega kwa bega na taifa la Iraq

    Jan 06, 2021 01:11

    Rais Barham Saleh wa Iraq amesema Shahidi Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC alisimama bega kwa bega na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika vipindi vyote vya matatizo na misukosuko.

  • SAUTI: Warsha ya kumbukumbu ya mauaji ya kigaidi ya Shahidi Suleimani yafanyika Tanzania

    SAUTI: Warsha ya kumbukumbu ya mauaji ya kigaidi ya Shahidi Suleimani yafanyika Tanzania

    Jan 04, 2021 13:33

    Kitendo cha Wamerekani kumuua Hajj Qasim Suleiman ni cha kigaidi, ijapokuwa kilifanywa na wanajeshi halali wa Marekani kwa amri ya rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump.

  • Iran: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Iran: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Jan 04, 2021 12:18

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Tehran inafuatilia kwa jicho la karibu nyendo na harakati za kutilia shaka za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS