-
Gaidi aliyefunzwa na Mossad kuendesha 'vita vya mitaani' aangamizwa na vikosi vya intelijensia vya Iran
Feb 08, 2026 02:49Sadeq Ashtari, kiongozi wa genge la kigaidi aliyepewa mafunzo na shirika la ujasusi la utawala wa kizayuni wa Israel Mossad kwa ajili ya kuendesha "vita vya mitaani" ameangamizwa katika mapigano na vikosi vya intelijensia vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Maelfu ya Wairaqi wajiandikisha kuingia vitani kuisaidia Iran endapo itashambuliwa na Marekani
Feb 08, 2026 02:46Maelfu ya Wairaqi wamesaini hati ya ahadi ya kusaidia kuihami Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iwapo itashambuliwa kijeshi na Marekani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatutafanya mazungumzo kuhusu makombora yetu, si sasa wala baadaye
Feb 07, 2026 23:18Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesisitiza kwamba Iran haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake, kwa sababu maudhui hiyo inahusu masuala ya ulinzi tu.
-
Wimbi jipya la vikwazo dhidi ya Iran; Trump awalenga washirika wa kibiashara wa Iran
Feb 07, 2026 22:53Trump amesaini dikrii kwa ajili ya kuwatoza ushuru washirika wa kibiashara wa Iran.
-
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lakaribisha mazungumzo ya Iran na Marekani
Feb 07, 2026 08:25Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limetangaza kuwa, limekaribisha kwa mikono miwili mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yaliyofanyika Muscat Oman.
-
Je, Trump ni rais wa amani kama anavyodai mwenyewe?
Feb 07, 2026 08:11Donald Trump, ambaye anajiona kama rais wa amani, amekariri madai yake dhidi ya uwezo wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, akidai kwamba bila hivyo, amani katika Asia Magharibi isingewezekana.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Mapinduzi ya Kiislamu yameitoa Iran kwenye utumwa wa Marekani
Feb 06, 2026 07:53Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amezungumzia maadhimisho ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kubainisha kwamba: "katika kipindi hiki, zimefanyika kazi kubwa na adhimu na zimetolewa huduma nyingi ambazo maneno hayatoshi kuzielezea.
-
Araghchi: Iran inaingia kwenye mazungumzo 'ikiwa makini'
Feb 06, 2026 03:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema Tehran inaingia katika duru mpya ya mazungmzo ya kidiplomasia na Marekani ikiwa hadhiri, makini kabisa na "kwa macho yaliyo wazi."
-
Meja Jenerali Mousavi: Tumeimarisha uwezo wa makombora yetu
Feb 05, 2026 23:26Afisa mwandamizi wa Jeshi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeimarisha mifumo yake ya kujilinda kwa kuboresha makombora ya balestiki yaliyotengenezwa ndani ya nchi.
-
Nchi wanachama Watetezi wa Mkataba wa UN zalaani hatua ya EU dhidi ya Iran
Feb 05, 2026 03:37Nchi wanachama wa Kundi la Marafiki Watetezi wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa zimetoa taarifa ambayo imelaani hatua ya hivi karibuni ya Umoja wa Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jeshi Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC.