-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA akiri mpango wa nyuklia wa Iran ni wa amani
Oct 11, 2020 04:25Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekiri kuwa, kinyume na inavyodaiwa na Marekani, mpango wa nyuklia wa Iran unafuatilia malengo ya amani.
-
Zarif: Njama za Marekani za kuwaua Wairani kwa njaa ni jinai dhidi ya binadamu
Oct 09, 2020 04:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu vikwazo vipya vya kibenki na kusisitiza kuwa, taifa hili bila shaka litavuka salama udhalimu na ukatili huu mpya wa Washington.
-
Ravanchi: Mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani ni sawa na ugaidi wa kiserikali
Oct 09, 2020 04:14Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameyataja mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani kuwa ni sawa na ugaidi wa kiserikali na kueleza kuwa: Sera hizo zimeratibiwa lengo likiwa ni kuwasababishia mashaka na masaibu wananchi na pia kusababisha machafuko ya kijamii kwa mujibu wa siasa hizo za kifisadi ili kubadili serikali.
-
Borell akiri udharura wa Iran kunufaika na mkataba wa JCPOA
Oct 09, 2020 03:43Licha ya kuwa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya ambayo inajumuisha nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zilikuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama JCPOA, lakini baada ya Marekani kujitoa katika mapatano hayo, pande hizo zimekuwa na utendaji mbaya usioweza kutetewa kutokana na kuwa zimeshindwa kuyalinda na pia kutotekeleza ahadi zao, na hasa kuhusu kutofanikisha mfumo wa mabadilishano ya kifedha na kibiashara unaojulikana kama Instex.
-
Milioni ya Wairaq wafanya ziara ya Arubaini kuwawakisha Waislamu wenzao duniani
Oct 08, 2020 04:02Milioni ya Wairaq wamewasili katika Haram ya Imam Husain AS huko Karbala kuwawakilisha mamilioni ya wapenzi wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW ambao mwaka huu wameshindwa kwenda Iraq kushiriki kumbukumbu hizo kutokana na corona.
-
Madai ya uongo ya Washington kuhusu hali ya corona nchini Iran
Oct 07, 2020 23:02Tangu Marekani ilipojiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hapo mwaka 2018 serikali ya Washington ilianza kutekeleza vikwazo vikali ambavyo havijawahi kushuhidiwa katika historia katika fremu ya kile kilichotajwa kuwa ni mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi.
-
Iran yazindua kizazi kipya cha mfumo wa rada wa Qadir
Oct 07, 2020 01:17Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua kizazi kipya cha mfumo wa rada wa ulinzi wa anga uliopewa jina la Qadir ambao ni wa masafa marefu na unaotumia mfumo wa 3D.
-
Taarifa ya mataifa 26 ya dunia ya kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Oct 06, 2020 23:41Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kigeni inashikilia rekodi ya kuwa dola lililoyawekea mataifa mengine ya dunia vikwazo vya upande mmoja.
-
Balozi: Russia iko tayari kuiuzia Iran ngao ya makobora ya S-400
Oct 04, 2020 04:03Balozi wa Russia mjini Tehran amesema nchi yake iko tayari kuiuzia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mfumo wa ulinzi wa makobora wa S-400 mara tu vikwazo vya silaha vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya nchi hii vitakapofikia tamati Oktoba 18 mwaka huu.
-
Iran yaionya Marekani dhidi ya mahesabu ghalati
Oct 02, 2020 08:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje ya Iran amesema kuwa mahesabu yasiyo sahihi ya Marekani ndiyo sababu ya kushindwa kwake mbele ya taifa la Iran tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.