-
China yaipongeza Iran kutokana na juhudi zake za kupambana na Corona
Mar 14, 2020 23:00Rais Xi Jinping wa China katika ujumbe aliomtumia Rais Hassan Rouhani wa Iran amepongeza juhudi za kibinaadamu za Tehran katika kuwasaidia raia wa nchi yake walioathirika na virusi vya Corona.
-
Majeshi ya Iran kuanza oparesheni ya kuwaondoa watu mitaani katika vita dhidi ya Corona
Mar 14, 2020 04:33Majeshi ya Iran yanatazamiwa kuanza oparesheni ya kuwaondoa watu mitaani, barabarani na kuhakikisha maduka yanafungwa katika kipindi cha masaa 24 yajayo ikiwa ni katika hatua za kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
-
Iraq yalaani mashambulizi ya Marekani, yasema ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala
Mar 13, 2020 10:21Jeshi la Iraq na Ofisi ya Rais wa nchi hiyo zimekosoa vikali mashambulizi mapya ya Marekani nchini humo yaliyoua wanajeshi, askari polisi na raia.
-
Iran yaionya Marekani kwa kutoa madai 'hatari' dhidi yake
Mar 13, 2020 09:22Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inapaswa kuangali upya uwepo wa vikosi vyake vamizi katika eneo la Asia Magharibi badala ya kuibua tuhuma zisizo na msingi wowote dhidi ya mataifa mengine.
-
Mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran wakati wa vita dhidi ya virusi vya corona
Mar 12, 2020 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Madai ya wakuu wa Marekani kuwa kuna njia za kuifikishia Iran dawa ni urongo mtupu."
-
Kingozi Muadhamu aamuru Jeshi la Iran liunde kituo maalumu cha vita dhidi ya Corona
Mar 12, 2020 23:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Alhamisi usiku alitoa amri kwa Meja Jenerali Mohammad Baqeri Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutaka kamandi hiyo iunde 'Kituo cha Afya na Matibabu' kwa lengo la kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 ambao ni maarufu kama virusi vya Corona.
-
Bunge la Marekani lapitisha sheria ya kumuwekea Trump vizingiti vya kuanzisha vita dhidi ya Iran
Mar 12, 2020 07:38Hatua za rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran katika fremu ya mashinikizo ya juu kabisa, na pia hatua za jinai zake za kigaidi kama ile amri aliyotoa ya kuuawa Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu mnamo Januari 2020 ni hatua ambazo zimeibua wasiwasi mkubwa katika Bunge la Marekani (Congress).
-
Rais wa Senegal ataka kupanuliwa uhusiano wa nchi yake na Iran
Mar 11, 2020 03:44Rais Macky Sall wa Senegal ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Watu karibu 3,000 wamepona Corona nchini Iran
Mar 11, 2020 01:11Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa hadi sasa watu 2,731 waliokuwa wameambukizwa ugonjwa wa COVID-19, maarufu kama Corona, nchini Iran wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya kupokea matibabu hospitalini.
-
Wanafunzi wa Iran walaani mauaji ya Waislamu nchini India
Mar 10, 2020 04:49Vyama vya Kiislamu vya Wanafunzi wa Iran vimelaani vikali mauaji na hujuma za kinyama wanazofanyiwa Waislamu nchini India.