-
Corona; Shirika la Afya Duniani lapongeza elimu ya kitiba nchini Iran
Mar 06, 2020 22:57Kirusi cha COVID-19 maarufu kama Corona hakijui mipaka na kimeenea kote duniani na kwa msingi huo mbali na jitihada za kitaifa, kuna jitihada za kimataifa za kukabiliana na ugonjwa huu kupitia kubadilishana uzoefu wa madaktari na Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona
Mar 06, 2020 04:53Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambaye ameitembelea Iran hivi karibuni amepongeza juhudi kubwa za vyombo na taasisi za afya hapa nchini katika kupambana na virusi vya Corona.
-
Meja Jenerali Salami: Iran hivi sasa ipo katika vita vya kibiolojia
Mar 05, 2020 22:57Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema taifa la Iran lipo katika vita vya kibiolojia hivi sasa, lakini bila shaka wananchi Waislamu wa Iran wataibuka washindi.
-
Haniya: Shahidi Soleimani alikuwa na nafasi ya "msingi" katika kuiunga mkono Palestina
Mar 05, 2020 00:12Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) aliyeuliwa shahidi alikuwa na nafasi muhimu na ya msingi katika kuunga mkono muqawama.
-
Pakistan yaunga mkono msimamo wa Iran katika kulaani ukatili dhidi ya Waislamu wa India
Mar 04, 2020 10:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan ameunga mkono msimamo wa Iran wa kulaani ukatili ulioratibiwa unaotekelezwa dhidi ya Waislamu wa India.
-
Watu 435 walioambukuzwa Corona nchini Iran wapona
Mar 04, 2020 01:02Naibu Waziri wa Afya wa Iran Dkt. Alireza Raisi amesema hadi sasa watu 435 waliombukizwa ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona wamepona na wamepewa ruhusa ya kuenda nyumbani kutoka hospitali.
-
Louis Farakkhan amlaani Trump kwa kumuua Soleimani
Mar 04, 2020 00:56Louis Farrakhan, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Nation of Islam ya nchini Marekani amemlaani vikali Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, jenerali Muirani aliyekuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Zarif akosoa ukatili na ghasia zilizopangwa dhidi ya Waislamu India
Mar 03, 2020 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalaani vikali ukatili na ghasia zilizoratibiwa dhidi ya Waislamu nchini India, akisisitiza kuwa njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo ni kufuata sheria na mazungumzo ya amani.
-
Waathirika 291 wa virusi vya Corona wapona nchini Iran
Mar 02, 2020 10:13Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran imetangaza kwamba hadi sasa watu 291 waliokuwa wameathirika na virusi vya Corona wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.
-
Njama za Trump za kuficha sera za Marekani dhidi ya Iran
Mar 02, 2020 07:29Baada ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA mwezi Mei 2018, ilianzisha sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran; na katika fremu hiyo ikaiwekea Iran vikwazo vikali kabisa hata katika uga wa masuala ya kibinadamu. Pamoja na kuwepo sera hiyo ya White House, hivi sasa rais afriti wa Marekani anajifanya mtu mwenye kuwahurumia wananchi wa Iran na kudai eti yuko tayari kuisaidia Iran.