Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Corona na jitihada za madaktari walioko mstari wa mbele wa kupambana na virusi visivyojali mipaka

    Corona na jitihada za madaktari walioko mstari wa mbele wa kupambana na virusi visivyojali mipaka

    Feb 28, 2020 08:55

    Wimbi la kuenea virusi hatari vya corona duniani sasa hivi limekuwa ndiyo daghadagha na wasiwasi mkubwa wa nchi zote huku jamii ya madaktari nchini Iran ikiwa mstari wa mbele kwa kufanya kazi usiku na mchana katika kupambana na virusi hivyo vinavyoenea kwa kasi.

  • Waziri wa Afya: Mapambano ya Iran dhidi ya virusi vya Corona yatawashangaza walimwengu

    Waziri wa Afya: Mapambano ya Iran dhidi ya virusi vya Corona yatawashangaza walimwengu

    Feb 28, 2020 08:30

    Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaushangaza ulimwengu kutokana na mbinu yake ya kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona.

  • Hatua ya kukurupuka ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Katibu Mkuu wa Kataeb Hizbullah ya Iraq

    Hatua ya kukurupuka ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Katibu Mkuu wa Kataeb Hizbullah ya Iraq

    Feb 28, 2020 02:05

    Marekani imetuma idadi kubwa ya wanajeshi wake huko Iraq tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh. Katika hatua yake ya kukurupuka Marekani imeliorodhesha jina la kiongozi wa mojawapo ya makundi muhimu ya taasisi ya Kataeb Hizbullah ya Iraq licha ya nafasi muhimu ya kundi la kujitolea la wananchi la al Hashd al Shaabi katika kutoa pigo na kuliangamiza kundi la kigaidi la Daesh huko Iraq.

  • Hemmati: Iran ina uhusiano wa kimataifa wa kibenki usioweza kuwekewa vikwazo

    Hemmati: Iran ina uhusiano wa kimataifa wa kibenki usioweza kuwekewa vikwazo

    Feb 27, 2020 09:37

    Gavana wa Benki Kuu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imebuni uhusiano wa kibenki wa kimataifa usioweza kuwekewa vikwazo na wala usiohusiana na jopokazi la eti kupambana na utakatishaji wa fedha chafu linalojulikana kwa kimombo kama Financial Action Task Force (FATF).

  • Russia: tutapinga kurejeshwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran

    Russia: tutapinga kurejeshwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran

    Feb 26, 2020 23:24

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amevitaja vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kuwa kinyume cha sheria na kueleza kuwa Moscow itapinga juhudi zozote kwa lengo la kuirejeshea Tehran vikwazo vya Umoja wa Mataifa.

  • Naibu Waziri wa Afya wa Iran apatwa na Corona, asema nchi itashinda virusi hivyo wiki chache zijazo

    Naibu Waziri wa Afya wa Iran apatwa na Corona, asema nchi itashinda virusi hivyo wiki chache zijazo

    Feb 25, 2020 12:18

    Naibu Waziri wa Afya wa Iran amethibitisha kuwa amepatwa na virusi vya Corona lakini amesisitiza kuwa, nchi hii itashinda janga la virusi hivyo wiki chache zijazo.

  • Nchi zilizoliwekea taifa la Iran vikwazo vya madawa ni katili

    Nchi zilizoliwekea taifa la Iran vikwazo vya madawa ni katili

    Feb 25, 2020 04:26

    Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi ambazo zinazuia madawa kuingia hapa nchini ni katili na wauaji wa binadamu.

  • Hatua ya kisiasa ya FATF ya kuiweka Iran katika orodha nyeusi

    Hatua ya kisiasa ya FATF ya kuiweka Iran katika orodha nyeusi

    Feb 22, 2020 08:01

    Nchi za Magharibi huku zikiongozwa na Marekani kwa muda sasa zimekuwa zikizingatia na kutilia maanani utekelezaji wa siasa za mashinikizo ya pande zote kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lengo likiwa ni kujaribu kubadilisha misingi na siasa za nchi hii.

  • Ujerumani yaitaka Saudi Arabia ichunge haki za binadamu

    Ujerumani yaitaka Saudi Arabia ichunge haki za binadamu

    Feb 22, 2020 03:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amewataka viongozi wa Saudi Arabia wafanyie marekebisho sheria zao na wachunge haki za binadamu.

  • Mousavi: Wairani hawaithamini Marekani wala vikwazo vyake dhidi yao

    Mousavi: Wairani hawaithamini Marekani wala vikwazo vyake dhidi yao

    Feb 21, 2020 23:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radimali yake kufuatia hatua ya Marekani ya kuwawekea vikwazo wanachama wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, serikali, taifa na nguzo zote za Jamhuri ya Kiislamu haziipi thamani Marekani wala vikwazo vyake vya kidhalimu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS