-
Kupiga hatua Iran katika sekta ya anga za mbali na kutuhumiwa kwa dhambi inayofanywa na Marekani na Ufaransa
Feb 13, 2020 23:08Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema: Suala la kurusha satalaiti na roketi la kubebea satalaiti hiyo katika anga za mbali ni jambo linalojulikana wazi duniani, wala halina uhusiano wowote na mjadala unaohusu makombora.
-
Iran yakadhibisha madai ya Ufaransa kuhusu miradi yake ya anga za mbali
Feb 11, 2020 23:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali madai ya uingiliaji wa mambo ya ndani ya taifa hili yaliyotolewa na Ufaransa kuhusu miradi ya anga za mbali ya Tehran.
-
Maandamano yaliyofana ya Bahman 22 yaakisiwa pakubwa na vyombo vya habari vya Kiarabu
Feb 11, 2020 23:29Vyombo vya habari katika eneo la magharibi mwa Asia jana viliakisi pakubwa maandamano ya tarehe 22 Bahman (tarehe 11 Februri) ambapo wananchi wa Iran walijitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya mwaka wa 41 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Pentagon: Askari 109 wa Marekani walipatwa na ugonjwa wa ubongo katika shambulizi la makombora la Iran
Feb 11, 2020 03:29Ikiwa ni katika mwenendelezo wa kukiri juu ya ongezeko la idadi ya askari magaidi wa Marekani waliojeruhiwa katika shambulizi la makombora la Iran kwenye kambi ya jeshi la Marekani ya Ain Assad nchini Iraq, Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon imetangaza kuwa askari 109 wa nchi hiyo wamekumbwa na ugonjwa wa ubongo kutokana na shambulizi hilo.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni ugaidi dhidi ya taifa la Iran
Feb 10, 2020 11:32Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni kitendo cha ugaidi dhidi ya taifa lote la Iran.
-
Kufuatiliwa kisheria hatua za kigaidi za Donald Trump dhidi ya Iran
Feb 07, 2020 23:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran hivi sasa iko katika mchakato wa kufuatilia kisheria katika taasisi za kimataifa; hatua tatu za kigaidi zilizochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran.
-
Raisi: Marekani ikituvamia tutavitimua vikosi vyake Ghuba ya Uajemi
Feb 07, 2020 23:29Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran ameonya dhidi ya tishio lolote la adui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kubainisha kuwa, iwapo Washington itathubutu kuchukua hatua yoyote iliyo dhidi ya Iran basi taifa hili litawatimua hadi chini ya Ghuba ya Uajemi wanajeshi wa Marekani.
-
Vikwazo vya dawa dhidi ya Iran ni kinyume cha hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu
Feb 06, 2020 06:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Marekani imefunga njia zote za miamala ya kifedha ya benki ya Iran katika uga wa ununuzi wa dawa na chakula."
-
Mkutano wa siri wa Marekani, UAE na Israel kujadili njama dhidi ya Iran
Feb 05, 2020 04:19Kumefanyika mkutano wa siri kati ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kujadili njama dhidi ya Iran.
-
Waziri wa Ulinzi Iran: Adui ameondoa mezani chaguo la mazungumzo
Feb 04, 2020 10:21Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, adui ameondoa mezani chaguo la kufanya mazungumzo baada ya Marekani kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) sambamba na Iran kutoa jibu kali kwa ugaidi huo wa Washington.