Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Pentagon yakiri tena: Makumi ya askari wa Marekani walipatwa na madhara katika shambulio la makombora la Iran

    Pentagon yakiri tena: Makumi ya askari wa Marekani walipatwa na madhara katika shambulio la makombora la Iran

    Jan 25, 2020 23:21

    Alfajiri ya Jumatano Januari 8 mwaka huu Iran ilishambulia kwa makombora kambi ya jeshi la Marekani ya Ain al Asad huko Iraq ikiwa ni katika kutimiza ahadi yake ya kulipiza kisasi kikali cha mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na serikali ya Trump dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani na wenzake huko Baghdad.

  • Idadi ya askari wa Marekani waliojeruhiwa katika jibu la Iran 'yaongezeka'

    Idadi ya askari wa Marekani waliojeruhiwa katika jibu la Iran 'yaongezeka'

    Jan 25, 2020 04:04

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesema makumi ya askari wa nchi hiyo walijeruhiwa na kupatwa na matatizo ya kisaikolojia kufuatia shambulizi la makombora la Iran dhidi ya kambi mbili za kijeshi za nchi hiyo huko Iraq mapema mwezi huu, licha ya utawala wa Washington hapo awali kudai kuwa hakuna askari wake hata mmoja aliyeuawa au kujeruhiwa katika majibu hayo makali ya ulipizaji kisasi yaliyotolewa na Iran.

  • Mtetemeko mkubwa wa ardhi waua 19 Uturuki, Iran tayari kutuma misaada ya dharura

    Mtetemeko mkubwa wa ardhi waua 19 Uturuki, Iran tayari kutuma misaada ya dharura

    Jan 25, 2020 01:19

    Mtetemeko mkubwa wa ardhi umetikisa mkoa wa Elazig mashariki mwa Uturuki na kuua watu wasiopungua 19 na kupelekea wengine wengi kujeruhiwa na idadi kubwa ya nyumba kubomoka.

  • Russia yapinga vikali vitisho vya Marekani vya kumuua kigaidi Brig. Jen. Qaani

    Russia yapinga vikali vitisho vya Marekani vya kumuua kigaidi Brig. Jen. Qaani

    Jan 24, 2020 13:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelaani vitisho vilivyotolewa na Marekani vya kumuua kigaidi kamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah).

  • Msimamo wa Ulaya kuhusu JCPOA, sera ya mielekeo kinzani yenye hatima moja

    Msimamo wa Ulaya kuhusu JCPOA, sera ya mielekeo kinzani yenye hatima moja

    Jan 23, 2020 08:30

    Hatua ya hivi karibuni ya troika ya Ulaya inayozijumuisha nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ya kuanza kutekeleza utaratibu wa kutatua tofauti ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA, ambayo imeanzishwa kwa mashinikizo ya Marekani, imekabiliwa na radiamali kali ya Iran.

  • Iran na Saudia ziko tayari kwa mazungumzo ya kutatua mivutano katika uhusiano wao

    Iran na Saudia ziko tayari kwa mazungumzo ya kutatua mivutano katika uhusiano wao

    Jan 23, 2020 04:12

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kila moja imetangaza kuwa iko tayari kufanya mazungumzo kwa ajili ya kutatua mivutano iliyopo katika uhusiano wa pande mbili.

  • Rouhani: Wananchi ni chanzo halisi cha nguvu na uwezo wa Iran

    Rouhani: Wananchi ni chanzo halisi cha nguvu na uwezo wa Iran

    Jan 22, 2020 09:08

    Rais Hassan Rouhani amesema wananchi wa Iran ndio chimbuko la kweli na halisi la nguvu na uwezo mkubwa wa taifa hili.

  • Washauri wa Trump washangazwa na uongo wake kuhusu Iran

    Washauri wa Trump washangazwa na uongo wake kuhusu Iran

    Jan 22, 2020 03:16

    Vyombo vya habari vya Marekani vimefichua kwamba, madai yaliyotolewa na rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwamba Iran ilikuwa na nia ya kushambulia balozi nne za Marekani yamewashangaza na kuwaacha bumbuazi hata washauri wake mwenyewe.

  • Iran imeuza nje ya nchi bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 32

    Iran imeuza nje ya nchi bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 32

    Jan 21, 2020 21:34

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuuza nje ya nchi bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 32 katika kipindi cha mwaka huu wa Hijria Shamsia ambao unatazamiwa kumalizika Machi 21 2020.

  • Tehran yampa Rais wa Ufaransa somo la jiografia kuhusu

    Tehran yampa Rais wa Ufaransa somo la jiografia kuhusu "Ghuba ya Uajemi"

    Jan 19, 2020 04:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa somo la jiografia na kumkosoa kwa kupotosha historia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS