-
Iran, muungaji mkono halisi wa Wapalestina katika kukabiliana na Israel
Nov 14, 2019 21:53Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko mstari wa mbele katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika kuwatetea watu wa Palestina.
-
UN yaitaka US iiondolee Iran vikwazo kama ilivyoagizwa na ICJ
Nov 13, 2019 23:13Umoja wa Mataifa umeitaka Marekani iheshimu agizo la Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu la kuiondolea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vinavyohusiana na bidhaa za kibinadamu.
-
Zarif: EU haijachukua hatua yoyote ya maana ya kulinda JCPOA
Nov 12, 2019 04:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezikosoa nchi za Ulaya kwa kuakhirisha ahadi zao na kufeli kufungamana na mapatano ya nyuklia ya JCPOA, huku zikiitaka Tehran ifungamane kikamilifu na makubaliano hayo.
-
Araqchi: Iran itachukua hatua zaidi iwapo upande wa pili wa JCPOA hautatekeleza wajibu wake
Nov 10, 2019 04:05Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haitasita kuchukua hatua nyingine zaidi katika kupunguza uwajibikaji wake kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, iwapo pande zilizosalia kwenye mapatano hayo hazitatekeleza wajibu wao kwa maslahi ya Tehran.
-
Javad Larijani akosoa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran
Nov 09, 2019 01:15Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu katika Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa kuendelea vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Hatua ya Nne ya Iran; Kufeli 'Mashinikizo ya Juu Zaidi' ya Marekani
Nov 08, 2019 23:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: 'Marekani ni kinara wa shari, mwanzilishi na muungaji mkono wa ugaidi duniani."
-
Russia yasisitiza kushindwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Nov 08, 2019 04:59Russia ikiwa mmoja wa wanachama wa kundi la 4+1 daima imekuwa ikisisitiza kulindwa mapatano ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kukosoa vikali hatua ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vya upande mmoja, baada ya yenyewe kujiondoa katika mapatano hayo ya kimataifa, ikisema kuwa huo ni ukiukaji wa wazi wa Washington wa mapatano hayo.
-
Hatua ya Nne ya Iran; kurutibishwa urani kwa kiwango cha asilimia 5 katika kituo cha Fordow
Nov 07, 2019 07:10Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameliagiza Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEO) lianze kuingiza gesi kwenye mashinepewa (centrifuges) katika kituo cha nyuklia cha Fordow, ikiwa ni katika utekelezaji wa hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wa Tehran katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kuwait yazifikishia Saudia na Bahrain ujumbe wa amani kutoka Iran
Nov 06, 2019 04:25Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait Khaled al-Jarallah amesema nchi yake imezifikishia Saudi Arabia na Bahrain ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kutaka amani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Zarif: Nchi za Ulaya zifungamane na mapatano ya JCPOA
Nov 05, 2019 23:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri wa Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Ulaya zifungamane na ahadi zao katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) .