Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Zanganeh: Juhudi za kusitisha ustawi wa sekta ya mafuta ya Iran zimefeli

    Zanganeh: Juhudi za kusitisha ustawi wa sekta ya mafuta ya Iran zimefeli

    Oct 20, 2019 08:10

    Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa ustawi wa sekta ya mafuta ya Iran si tu kuwa haujasitishwa bali kusainiwa makubaliano na kutekelezwa miradii mingi katika sekta ya mafuta na gesi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kumeongezeka.

  • "Nchi za Ulaya hazina muamana, zinashirikiana na Marekani kuishinikiza Iran"

    Oct 20, 2019 04:16

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema nchi za Ulaya hazina muamana na zimeshindwa kutekeleza wajibu wao kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Qatar: Diplomasia itumike kupunguza taharuki kati ya Iran na Waarabu

    Qatar: Diplomasia itumike kupunguza taharuki kati ya Iran na Waarabu

    Oct 20, 2019 04:07

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na baadhi ya nchi za Kiarabu katika eneo zinaweza kupunguza taharuki miongoni mwao kwa njia ya mazungumzo na diplomasia.

  • Iran yalaani shambulizi la kigaidi lililoua makumi msikitini Afghanistan

    Iran yalaani shambulizi la kigaidi lililoua makumi msikitini Afghanistan

    Oct 19, 2019 08:59

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la kigaidi lilioua makumi ya watu ndani ya msikiti katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan.

  • Marekani: Mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran yataendelea na yatakuwa makali zaidi

    Marekani: Mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran yataendelea na yatakuwa makali zaidi

    Oct 19, 2019 00:11

    Brian Hook, mkuu wa "Kundi la Uchukuaji Hatua Dhidi ya Iran" katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema, kampeni ya utoaji mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu itaendelea, na mashinikizo hayo yatazidi kuwa makali.

  • "Iran haitakuwa mtekelezaji pekee wa makubaliano ya nyuklia"

    Oct 17, 2019 23:56

    Naibu Balozi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Tehran haipaswi kuwa mtekelezaji pekee wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA iwapo upande wa pili hautatekeleza wajibu wake.

  • Iran: Kuzinduliwa ndege mpya ya kivita ya Yasin, ishara ya kushindwa vikwazo

    Iran: Kuzinduliwa ndege mpya ya kivita ya Yasin, ishara ya kushindwa vikwazo

    Oct 17, 2019 10:03

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Iran kuzindua ndege mpya ya kivita iliyotengenezwa na wataalamu wa kijeshi wa hapa nchini ni ishara tosha kuwa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani havijakuwa na athari zozote kwa taifa hili.

  • Syria; ajenda kuu ya mazungumzo ya mjumbe wa Rais wa Russia mjini Tehran

    Syria; ajenda kuu ya mazungumzo ya mjumbe wa Rais wa Russia mjini Tehran

    Oct 17, 2019 06:55

    Mwakilishi maalumu wa Rais Vladimir Putin wa Russia amekuja hapa Tehran na kufanya mazungumzo na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu masuala ya Syria na wamejadiliana matukio ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Tehran ni mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Eneo la Mediterania Mashariki

    Tehran ni mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Eneo la Mediterania Mashariki

    Oct 16, 2019 03:53

    Hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA ni fedheha kwa Marekani na fedheha kubwa zaidi kwa nchi hiyo ni kuwawekea watu wa Iran vikwazo vya dawa na chakula.

  • Larijani: Marekani ndiye mchochezi mkuu wa uhasama kati ya Iran na Saudia

    Larijani: Marekani ndiye mchochezi mkuu wa uhasama kati ya Iran na Saudia

    Oct 16, 2019 01:06

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haina tatizo lolote wala haipingi mpango wowote wa kupatiwa ufumbuzi mikwaruzano na uhasama uliopo kati yake na Saudi Arabia, lakini Marekani ndiyo kizingiti kikuu katika kuafikiwa jambo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS