-
"Iran ni mpiganiaji mkubwa wa umoja wa nchi za Kiislamu"
Apr 28, 2019 11:37Mtaalamu mmoja wa ulimwengu wa Kiislamu kutoka Nigeria amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima iko mstari wa mbele katika kupigania umoja na mshikamano baina ya nchi za Kiislamu.
-
Kongamano la Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu laanza Tehran
Apr 28, 2019 02:40Kongamano la Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu katika Dira ya Mwaka 2035 limeng'oa nanga hii leo hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran, kwa kuwaleta pamoja wanazuoni na wajumbe kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Kudumishwa ushirikiano mzuri wa Iran na Russia kinyume na matakwa ya Marekani
Apr 26, 2019 05:49Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kwamba serikali za Tehran na Moscow zinahujumiwa na Marekani kutokana na nafasi yao huru.
-
Waziri wa Mafuta wa Nigeria: Mauzo ya mafuta ya Iran hayawezi kufikia kiwango cha sifuri
Apr 26, 2019 03:42Waziri wa Mafuta wa Nigeria ametoa radiamali kufuatia uamuzi wa Marekani wa kufuta kibali cha ununuzi wa mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, ni jambo lisilowezekana kufikisha mauzo ya mafuta ya Iran kwenye kiwango cha sifuri.
-
Siasa za upande mmoja za Trump; hatari kubwa kwa 'udiplomasia wa amani'
Apr 26, 2019 03:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kwamba ili kulinda siasa za pande kadhaa, dunia inapasa kufanya juhudi za kuizuia Marekani kufikia maslahi yake inayoyafuatilia kwa njia zisizo za kisheria.
-
Iran yatoa onyo kwa Saudia na Bahrain zisimfuate kibubusa Trump
Apr 25, 2019 09:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa onyo kwa tawala za kiimla za Saudi Arabia na Bahrain zisimfuate kibubusa rais wa Marekani Donald Trump katika vikwazo vyake vya mafuta dhidi ya Iran na kuzitaka zifikirie matokeo mabaya ya hatua yao hiyo.
-
Zarif: Iran ina Shahada ya Uzamivu (PhD) ya kukabiliana na vikwazo
Apr 25, 2019 03:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Jamhuri ya Kiislamu haitasimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya nchi licha ya vikwazo vipya vya Marekani, na kusisitiza kuwa taifa hili lina Shahada ya Uzamivu (PhD) katika kupambana na vikwazo.
-
Associated Press: Washington kuchunguza upya kibali cha ununuzi wa mafuta ya Iran
Apr 25, 2019 02:57Shirika la Habari la Associated Press limetangaza kulegeza msimamo kwa mara nyingine serikali ya Marekani kwa lengo la kuchunguza hatua ya kutoa kibali kipya kwa wanunuzi wa mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Reuters: Hatua ya serikali ya Trump dhidi ya Iran, imewatumbukiza raia wa Kimarekani katika matatizo makubwa
Apr 24, 2019 09:49Shirika la Habari la Reuters limeandika kuwa hatua ya serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kutorefusha kibali kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran, imepelekea kupanda kwa bei ya mafuta na kuibuka changamoto kubwa kwa raia wenyewe wa Marekani.
-
Wasiwasi wa Marekani kuhusu matokeo hasi ya vikwazo dhidi ya mafuta ya Iran
Apr 24, 2019 02:54Kutokana na wasiwasi wake wa uwezekano wa kufungwa lango bahari la Hormoz katika Ghuba ya Uajemi, serikali ya Marekani imetaka kutolewa dhamana ya kupita salama meli zinazobeba nishati ya mafuta katika lango hilo na la Bab al-Mandab katika Bahari ya Sham.