-
Kiongozi Muadhamu asisitiza kuimarishwa nafasi ya IRGC katika nyuga za ulinzi na ustawi wa utamaduni
Apr 22, 2019 08:20Ayatullah Khamenei, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Iran siku ya Jumapili katika dikrii alimteua Hussein Salami kuwa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Meja Jenerali Baqeri: IRGC imefelisha njama za Marekani dhidi ya Iran kwa miaka 40
Apr 21, 2019 09:37Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wanafikra wakubwa ndani ya utawala wa Marekani wameshindwa sambamba na njama zao kufeli mkabala wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika kipindi chote cha miaka 40 iliyopita.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Pakistan mjini Tehran; ukurasa mpya wa ushirikiano wa pande mbili
Apr 21, 2019 09:12Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan leo Jumapili ameanza safari ya siku mbili humu nchini kwa mwaliko rasmi wa Rais Hassan Rouhani wa Iran.
-
Wairaqi wafanya onyesho kubwa la 'Shukurani kwa Iran' katika siku ya kukumbuka kuundwa harakati ya Hashdu sh-Sha'abi
Apr 20, 2019 00:05Sambamba na Wairaqi kusherehekea siku ilipoundwa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini humo katika onyesho kubwa lililofanyika mjini Baghdad, mji mkuu wa Iraq, wameshukuru nafasi chanya ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH la nchi hii kwa mchango wao mkubwa kwenye vita dhidi ya kundi hatari la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).
-
Waziri Mkuu wa Pakistan kuitembelea Iran, atoa wito wa uhusiano bora
Apr 18, 2019 22:33Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amesema nchi yake inalipa umuhimu mkubwa suala la uhusiano wake na Iran na kuongeza kuwa analenga kuimarisha uhusiano wa nchi hizi mbili jirani katika safari yake tarajiwa mjini Tehran.
-
Barua ya Zarif kwa walimwengu; uzushi wa Marekani ni hatari kubwa
Apr 18, 2019 08:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka serikali zote za dunia kuchukua msimamo wa kimsingi, imara na unaozingatia sherika katika kukabiliana na hatua ya Marekani ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH katika orodha yake ya makundi ya kigaidi.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu udharura wa kueneza utamaduni na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani
Apr 16, 2019 01:58"Kutekeleza mafundisho ya Qur'ani kunaandaa uwanja wa kupatikana izza (heshima), ustawi, maendeleo, nguvu, mshikamano, mtindo mzuri wa maisha katika dunia na kudhaminiwa saada na ufanisi wa Akhera."
-
Bunge la Iran lapitisha muswada kukabiliana na uhasama wa Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Apr 15, 2019 23:44Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Bunge la Iran imepasisha muswada wa dharura wa kuchukua hatua za kukabiliana na uamuzi wa Marekani wa kulitangaza Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Iran na Oman kuimarisha ushirikiano wao wa kijeshi na kiulinzi
Apr 15, 2019 03:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimeeleza hamu yao ya kuimarisha ushirikiano wao wa kijeshi na kiulinzi.
-
Mahojiano na mshindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran + Sauti
Apr 14, 2019 13:46Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo Jumapili, Aprili 14, 2019 hapa mjini Tehran na kushindanisha washiriki kutoka nchi 83 za dunia.