-
Ulaya yasisitiza tena kulinda makubalino ya nyuklia ya JCPOA
Feb 16, 2019 10:09Licha ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuwa na umuhimu mkubwa katika kudumisha amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani mwezi Mei mwaka jana ilijitoa kwenye makubaliano hayo ili kuyasambaratisha.
-
Umoja wa Ulaya wapinga takwa la Marekani la kujiondoa mapatano ya nyuklia ya Iran
Feb 16, 2019 04:37Umoja wa Ulaya umepinga ombi la Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence ambaye amezitaka nchi za Ulaya zifuate nyayo za Marekani na kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran kwa lengo la "kuitenga" Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kufeli mkutano wa Warsaw
Feb 15, 2019 10:41Baada ya propaganda kubwa za wiki kadhaa zilizofanywa na Marekani kuhusu mkutano uliokuwa dhidi ya Iran wa Warsaw nchini Poland, hatimaye mkutao huo wa siku mbili ulimaliza kazi zake jana Alkhamisi bila ya mafanikio.
-
Rouhani: Magaidi hawapaswi kuachiwa wajihisi wako salama katika kona yoyote ya dunia
Feb 15, 2019 04:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo la pamoja la nchi za Iran, Russia na Uturuki katika kupambana vilivyo na ugaidi ni kurejesha usalama na utulivu nchini Syria na kuongeza kuwa, magaidi hawapaswi kuhisi wako salama katika kona yoyote ile ya dunia.
-
Viongozi wa Russia, Iran na Uturuki watoa taarifa mwishoni mwa kikao chao cha mjini Sochi
Feb 14, 2019 23:22Viongozi wa nchi tatu za Iran, Russia na Uturuki wamesisitiza kuhusu azma yao ya kuimarisha ushirikiano kwa ajili ya kupeleka mbele gurudumu la mchakato wa kisiasa nchini Syria, kurejeshwa makwao wakimbizi na kuijenga upya nchi hiyo.
-
Pompeo akiri kuwa vikwazo vya Marekani vinalenga kutoa mbinyo na mashinikizo kwa raia wa Iran
Feb 14, 2019 23:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekiri kuwa lengo la kuiwekea vikwazo Iran ni kuwawekea mbinyo na mashinikizo ya kiuchumi wananchi wa Iran ili hatimaye kusababisha machafuko ndani ya nchi.
-
Rais Rouhani: Marekani na Uzayuni ndio chanzo kikuu cha ugaidi katika eneo
Feb 14, 2019 12:08Rais Hassan Rouhani amesema: Chanzo kikuu cha ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati ni Marekani na Uzayuni; na kwa masikitiko, baadhi ya nchi za eneo zenye utajiri wa mafuta nazo pia zinawafadhili kifedha magaidi.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba wa mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu; "Hatua ya Pili ya Mapinduzi"
Feb 14, 2019 06:35Kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 40 tokea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuingia Jamhuri ya Kiislamu katika ukurasa mpya wa uhai wake, Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatano alitoa ujumbe muhimu sana kwa taifa la Iran ambapo aliwashukuru wananchi wa kujitokeza kwa wingi na kumsambaratisha adui katika matembezi ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatatu 22 Bahram (11 Februari) .
-
Mwakilishi wa Trump: Hatuna ratiba yoyote ya kuanzisha vita na Iran
Feb 13, 2019 23:12Mwakilishi wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran sambamba na kutoa tuhuma zao za kila siku dhidi ya Tehran amesema kuwa, nchi yake haina ratiba yoyote ya kuanzisha vita dhidi ya Iran.
-
Safari ya kushtukiza ya Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraq
Feb 13, 2019 09:30Baada ya baadhi ya maeneo ya Iraq kudhibitiwa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mnamo mwezi Juni 2014, Marekani iliimarisha uwepo wake ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu sambamba na kuweka askari wake katika kambi kadhaa za kijeshi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.