Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Araghchi amjibu Trump: Vikosi vya Iran viko tayari kujibu mapigo

    Araghchi amjibu Trump: Vikosi vya Iran viko tayari kujibu mapigo

    Jan 02, 2026 23:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amemuonya Rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu, akikosoa matamshi yake ya hivi karibuni na kuyaeleza kuwa "yasiyo na busara na hatarishi," na kusisitiza kwamba vikosi vya jeshi la Iran vimejiandaa kikamilifu kulinda mamlaka ya kujitawala nchi hii.

  • Onyo kuhusu matokeo mabaya ya vitisho vya Marekani dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran

    Onyo kuhusu matokeo mabaya ya vitisho vya Marekani dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran

    Jan 02, 2026 08:59

    Tehran imeonya kuhusu matokeo mabaya ya vitisho vya hivi karibuni vya Marekani dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran.

  • Wairani wamkumbuka na kumuenzi Haj Qassem Soleimani

    Wairani wamkumbuka na kumuenzi Haj Qassem Soleimani

    Jan 02, 2026 07:29

    Maelfu ya watu kutoka Iran na kote ulimwenguni wamekusanyika katika mji wa Kerman ulioko kusini mwa Iran, kuadhimisha kumbukizi ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem, aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC.

  • Iran yajibu bwabwaja, vitisho na matamshi ya uingiliaji ya Trump

    Iran yajibu bwabwaja, vitisho na matamshi ya uingiliaji ya Trump

    Jan 02, 2026 06:47

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameonya kwamba, uingiliaji kati wa Marekani katika masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu utavuruga utulivu wa eneo zima la Asia Magharibi na kuhatarisha moja kwa moja maslahi ya Marekani katika eneo.

  • Iran yatahadharisha kuhusu vitisho vya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia

    Iran yatahadharisha kuhusu vitisho vya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia

    Jan 01, 2026 08:52

    Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa na taasisi nyingine za kimataifa mjini Geneva, Uswisi ametahadharisha kuwa hatua ya Marekani ya kuhalalisha vitisho dhidi ya vituo vya nyuklia vya nchi hii ianahatarisha itibari na hadhi ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT).

  • Ujumbe wa wazi kutoka Russia kwa Marekani na Israel; sitisheni vitisho dhidi ya Iran

    Ujumbe wa wazi kutoka Russia kwa Marekani na Israel; sitisheni vitisho dhidi ya Iran

    Jan 01, 2026 06:46

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amekosoa vikali vitisho vya Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, na kusema jamii ya kimataifa inapinga sera hizo za vitisho.

  • Wizara ya Usalama imewatia mbaroni watu 7 wenye mfungamano na makundi adui yaliyoko US, UK

    Wizara ya Usalama imewatia mbaroni watu 7 wenye mfungamano na makundi adui yaliyoko US, UK

    Jan 01, 2026 03:42

    Wizara ya Usalama na Intelijensia ya Iran imewatia mbaroni watu saba wanaohusishwa na makundi yenye uadui na Jamhuri ya Kiislamu ambayo yana makao yao Marekani na barani Ulaya.

  • Iran yalaani vitisho vya kijeshi vya wazi vya Trump; yalitaka Baraza la Usalama kuchukua hatua

    Iran yalaani vitisho vya kijeshi vya wazi vya Trump; yalitaka Baraza la Usalama kuchukua hatua

    Dec 31, 2025 23:13

    Iran imelaani rasmi vitisho "vikubwa na vya wazi" vya vita vya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu uwezo wa kiulinzi na miraidi ya nyuklia ya nchi hii inayotekelezwa mwa malengo ya amani na kulitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kulaani vitisho hivyo.

  • Vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran; ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na mkataba wa Umoja wa Mataifa

    Vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran; ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na mkataba wa Umoja wa Mataifa

    Dec 31, 2025 08:58

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa, vitisho vya Trump dhidi ya Iran ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

  • Bunge la Iran lapongeza kurushwa kwa mafanikio satelaiti tatu katika anga za mbali

    Bunge la Iran lapongeza kurushwa kwa mafanikio satelaiti tatu katika anga za mbali

    Dec 31, 2025 08:56

    Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepongeza kurushwa kwa satelaiti tatu zilizotengenezwa zilizotengenezwa na wataalamu wa hapa nchini, na kuitaja hatua hiyo kuwa mafanikio ya kihistoria katika mpango wa anga za mbali wa Jamhuri ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS