Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Araghchi: Netanyahu 'anaiamuru waziwazi' Marekani cha kufanya katika mazungumzo na Iran

    Araghchi: Netanyahu 'anaiamuru waziwazi' Marekani cha kufanya katika mazungumzo na Iran

    Jul 14, 2025 00:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel ameshindwa kufikia lolote kati ya malengo ya vita vya karibuni vya utawala huo ghasibu dhidi ya Iran.

  • Russia yakadhibisha madai ya Axios kuhusu urutubishaji urani wa Iran

    Russia yakadhibisha madai ya Axios kuhusu urutubishaji urani wa Iran

    Jul 13, 2025 23:24

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema madai ya tovuti ya habari ya Marekani ya Axios kwamba Rais Vladimir Putin wa Russia ameiomba Iran isirutubishe madini ya uranium kuwa "kampeni chafu ya kisiasa" .

  • Mabalozi wa nchi 28 wakagua jengo la IRIB lililoshambuliwa na jeshi la kizayuni

    Mabalozi wa nchi 28 wakagua jengo la IRIB lililoshambuliwa na jeshi la kizayuni

    Jul 13, 2025 12:10

    Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB), Peyman Jebelli, amewapokea mabalozi wanaowakilisha nchi 28 hapa mjini Tehran waliofanya ziara ya kukagua moja ya majengo ya IRIB lililolengwa na shambulio la kigaidi la jeshi la utawala wa kizayuni Israel mwezi uliopita.

  • Wabunge wa Iran waandaa muswada wa kuimarisha vikosi vya ulinzi kwa vita kamili na Israel

    Wabunge wa Iran waandaa muswada wa kuimarisha vikosi vya ulinzi kwa vita kamili na Israel

    Jul 13, 2025 10:46

    Wabunge wa Iran wamo mbioni kuandaa mswada wa kuongeza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa lengo la kuviimarisha Vikosi vya Ulinzi kwa ajili ya makabiliano ya kijeshi ya pande zote na utawala haramu wa kizayuni wa Israel.

  • Nini madhumuni ya barua mpya ya Iran kwa Baraza la Usalama kuhusiana na uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Iran?

    Nini madhumuni ya barua mpya ya Iran kwa Baraza la Usalama kuhusiana na uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Iran?

    Jul 12, 2025 23:05

    Amir Saeid Iravani Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo, na kuwasilisha ripoti iliyosasishwa kuhusu uharibifu uliosababishwa na uvamizi mkubwa wa kijeshi na wa bila ya sababu wa utawala wa Israel dhidi ya Iran.

  • Iran: Imani yetu kwa Marekani imeporomoka mno

    Iran: Imani yetu kwa Marekani imeporomoka mno

    Jul 12, 2025 12:30

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema Marekani imedhoofisha diplomasia na kukiuka sheria za kimataifa kwa mashambulizi yake ya kichokozi dhidi ya taifa hili, wakati mazungumzo ya nyuklia yalipokuwa yakiendelea, na hivyo kupunguza imani ya Iran kwa Marekani chini ya sifuri.

  • Araghchi: Iran haijasitisha ushirikiano wake na IAEA

    Araghchi: Iran haijasitisha ushirikiano wake na IAEA

    Jul 12, 2025 10:59

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, ushirikiano wa Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki haujasimamishwa na kusisitiza kuwa, sisitizo la Ulaya kuhusu kuhuisha mchakato wa kurejeshwa vikwazo vya nyuklia dhidi ya Tehran litahitimisha jukumu lao katika faili la atomiki la Jamhuri ya Kiislamu.

  • UNESCO: Mauaji ya wanasayansi wa Iran ni pigo kwa jumuiya ya sayansi duniani

    UNESCO: Mauaji ya wanasayansi wa Iran ni pigo kwa jumuiya ya sayansi duniani

    Jul 12, 2025 10:18

    Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Kitaifa ya Iran ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Hassan Fartousi, amesema hujuma za Israel dhidi ya Iran ni tishio kwa "mantiki, sayansi na amani."

  • Iran yaijia juu Marekani kwa kumwekea vikwazo Ripota wa UN

    Iran yaijia juu Marekani kwa kumwekea vikwazo Ripota wa UN

    Jul 11, 2025 12:36

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei ameikosoa vikali Marekani kwa kumwekea vikwazo Francesca Albanese, Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Tuhuma dhidi ya Iran zaendelea licha ya Grossi kukiri tena kwamba Iran haitengenezi silaha za nyuklia

    Tuhuma dhidi ya Iran zaendelea licha ya Grossi kukiri tena kwamba Iran haitengenezi silaha za nyuklia

    Jul 11, 2025 23:04

    Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesisitiza kuwa, hakuna ushahidi wa kuaminika kwamba Iran imepata silaha za nyuklia na kusisitiza ulazima wa kutatuliwa kidiplomasia suala la nyuklia la Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS