Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Pezeshkian: Iran ipo tayari kuimarisha uhusiano na Ivory Coast

    Pezeshkian: Iran ipo tayari kuimarisha uhusiano na Ivory Coast

    Oct 08, 2025 09:15

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imejiandaa kikamilifu kupanua ushirikiano wa pande mbili na Ivory Coast ili kufikia malengo ya pamoja.

  • Jeshi la majini la Iran lasaini hati ya ushirikiano wa kimkakati na nchi za eneo la Kaspi zenye ukanda wa pwani

    Jeshi la majini la Iran lasaini hati ya ushirikiano wa kimkakati na nchi za eneo la Kaspi zenye ukanda wa pwani

    Oct 08, 2025 08:59

    Makamanda wa majeshi ya majini ya Iran, Russia, Kazakhstan na Azerbaijan wametia saini mkataba wa ushirikiano wa kimkakati unaolenga kuimarisha usalama katika maji ya pamoja.

  • Araghchi: Israel inatumia mamilioni ya dola kulipa watu waongope mitandaoni

    Araghchi: Israel inatumia mamilioni ya dola kulipa watu waongope mitandaoni

    Oct 07, 2025 03:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi ameshutumu kampeni ya propaganda iliyofichuliwa hivi karibuni ya Israel, yenye lengo la kuhamasisha uungwaji mkono kwa utawala huo kwenye mitandao ya kijamii.

  • Iran yaibuka ya 3 katika Mashindano ya Riadha ya Walemavu India

    Iran yaibuka ya 3 katika Mashindano ya Riadha ya Walemavu India

    Oct 07, 2025 02:38

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemaliza katika nafasi ya tatu katika Duru ya 12 ya Mashindano ya Riadha ya Walemavu yaliyofanyika nchini India.

  • Iran: Marekani na Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi haramu dhidi ya vituo vya nyuklia

    Iran: Marekani na Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi haramu dhidi ya vituo vya nyuklia

    Oct 06, 2025 08:22

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Marekani na utawala wa Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi yaliyo kinyume cha sheria zilizoyafanya dhidi ya taasisi za nyuklia za Iran zinazoendesha shughuli zake kwa malengo ya amani na ya kiraia na pia mashambulizi ya pande mbili hizo dhidi ya umoja wa ardhi na mamlaka ya kujitawala nchi hii.

  • Kamanda wa IRGC: Iran itajibu kwa ukali na nguvu zaidi uchokozi wa maadui

    Kamanda wa IRGC: Iran itajibu kwa ukali na nguvu zaidi uchokozi wa maadui

    Oct 06, 2025 03:58

    Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Mohammad Pakpour amesisitiza kuwa, Jeshi la Iran limejiandaa kikamilifu kutoa jibu thabiti na kali kwa chockochoko tarajiwa za maadui.

  • Kwa nini China inaamini kujitoa Marekani katika JCPOA ndio chanzo cha mgogoro wa sasa kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran?

    Kwa nini China inaamini kujitoa Marekani katika JCPOA ndio chanzo cha mgogoro wa sasa kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran?

    Oct 06, 2025 02:43

    China imetangaza kuwa, kujitoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chanzo cha mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa kuhusiana na kadhia ya nyuklia ya Iran.

  • Iran yaunga mkono uamuzi wa Palestina juu ya usitishaji vita Gaza; lakini yaonya...

    Iran yaunga mkono uamuzi wa Palestina juu ya usitishaji vita Gaza; lakini yaonya...

    Oct 06, 2025 02:21

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema itaunga mkono uamuzi wowote wa watu wa Palestina na Muqawama kuhusu pendekezo la kusitisha mapigano Gaza linaloungwa mkono na Marekani, huku ikiionya jamii ya kimataifa kuhusu mwelekeo hatari wa mpango huo na historia ya kutokuwa na muamana Israel.

  • Timu ya voliboli ya wanawake ya Iran yatwaa ubingwa wa CAVA 2025

    Timu ya voliboli ya wanawake ya Iran yatwaa ubingwa wa CAVA 2025

    Oct 06, 2025 01:49

    Timu ya voliboli ya wanawake ya Iran iliigaraza Uzbekistan kwenye mashindano ya Kombe la Chalenji ya Wanawake wa Asia ya Kati (CAVA) jana Jumapili na kushinda taji hilo la kieneo kwa mara ya kwanza katika historia.

  • Waziri Araghchi: Ulaya 'imehafifisha' nafasi yake katika mazungumzo ya siku zijazo ya mpango wa nyuklia wa Iran

    Waziri Araghchi: Ulaya 'imehafifisha' nafasi yake katika mazungumzo ya siku zijazo ya mpango wa nyuklia wa Iran

    Oct 05, 2025 23:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Ulaya zimedhoofisha msimamo wao katika mchakato wa kidiplomasia unaolenga kutatua kadhia ya nyuklia ya Iran na kwa hiyo watakuwa nafasi "hafifu" katika mazungumzo yoyote yatakayofanyika siku za usoni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS