-
Iran yataka OIC kuchukua hatua ya kuipiga marufuku Israel katika michezo ya dunia
Oct 05, 2025 07:12Waziri wa Michezo na Vijana wa Iran, Ahmad Donyamali amewataka mawaziri wenzake katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuunda muungano wa pamoja dhidi ya utawala wa Israel ambao utasaidia kuupiga marufuku utawala huo wa Kizayuni kwenye michezo ya kimataifa.
-
Iran yalaani kushambuliwa msafara wa kimataifa wa "Sumud"
Oct 05, 2025 04:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Ismaeil Baqaei amelaani vikali shambulio la utawala wa Israel dhidi ya msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa Gaza.
-
Madai mapya ya G7; Kwa nini Wamagharibi wanaendeleza sera zao za undumakuwili mkabala wa Iran?
Oct 04, 2025 07:57Katika kuendelea sera za undumakuwili za kundi la G-7 mkabala wa Iran; kundi hilo limedai kuwa linataka kuendeleza diplomasia mkabala wa kadhia ya nyuklia ya Iran.
-
Iran yawanyonga magaidi wenye mfungamano na Israel
Oct 04, 2025 02:14Magaidi sita wanaohusishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa nchini Iran mapema leo Jumamosi.
-
Iran na Japan zafungua ukurasa mpya katika ushirikiano wa kisayansi
Oct 02, 2025 04:25Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran Hossein Simaee amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Iran Tamaki Tsukada kabla ya kufanya ziara huko Japan kwa lengo la kushiriki katika kikao cha 22 cha Kongamano la Sayansi na Teknolojia katika Jamii (STS).
-
Kinachoifanya Russia ishikilie msimamo kwamba kurejeshwa vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran kunapingana na Mkataba wa UN
Oct 01, 2025 23:09Russia imetangaza kuwa madai ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran hayana msingi wowote na hatua iliyochukuliwa na Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na suala hilo inapingana na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Pezeshkian: Iran inatoa kipaumbele kuimarisha uhusiano na China
Oct 01, 2025 09:07Rais Masoud Pezeshkian wa Iran katika ujumbe wake kwa mwenzake wa China, Xi Jinping, amesisitiza kuwa Tehran inatoa kipaumbele kwa suala la kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na wa kina na Beijing.
-
Araghchi aiambia CNN: Kurutibisha urani ni haki ya msingi ya Iran
Oct 01, 2025 07:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kurutubisha madini ya urani ni haki isiyopingika na isiyopokonyeka ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Pezeshkian: Si katika hulka na dhati ya Iran kusalimu amri
Sep 30, 2025 23:18Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ameashiria azma na irada thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu mkabala wa mashinikizo ya maajinabi na kutangaza kwamba, taifa hili kamwe halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa.
-
Pezeshkian: Utaratibu wa Snapback ni jaribio la kuhalalisha hatua haramu za Magharibi
Sep 30, 2025 08:32Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja utaratibu wa Snapback kama jaribio la kuhalalisha vitendo haramu vya nchi za Magharibi.